@mamake_mursaina: . Shairi: MIPANGO YAMUNGU HAKUNA ANAYEIJUA Ubeti wa 1: Wenzio wakiondoka, kwa gari wakakuacha, Moyo usije fawaka, kwa huzuni inayochoma, Kilio kikikufika, ukiona giza kucha, Hujui mbele ya miaka, ni heri gani yasoma. 😭 💔 Ubeti wa 2: Ukajaribu zuia, wasimame wakataa, Machozi yakakujaa, uwanjani uking’aa, Kumbe kifo chawajaa, mbele kule chawashika, Lile gari lilopaa, bomu likalilipua. 🛻 🔥 Ubeti wa 3: Wote waliangamia, waliokukimbia, Wewe ukabaki hai, salama ukatulia, Mungu alikuepushia, janga lilowangojea, Hatma yake Jalia, mwanadamu haijui. 🙏 😢 Ubeti wa 4: Sikitiko la leo hii, huenda ndio salama, Kuachwa usililie, kuna heri ya mapema, Kila jambo lipokee, kwa shukrani na hekima, Mipango ya Mungu mteee, ndiyo yenye mwisho mwema. 🙏 ❤️ 😢 Alhamdulillah kwa kila hali.
MAMAKE MURSAINA
Region: KE
Sunday 13 September 2026 13:53:53 GMT
Music
Download
Comments
shahidah 💫✨ :
Allahu Aqbar yarabi 😢
2026-09-13 19:08:34
1
khadeejah billeil :
nitumie Na mm private
2026-09-15 04:31:32
0
NAZY💗💗💗 :
Alhamdulillah Yaah Allah 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
2026-09-13 22:22:25
1
user2595812652260 :
kweli kabsaaa,,ALHMDELLAH KWA KILA LINIEPUKALO
2026-09-13 22:15:03
1
mbarakomar368 :
ina mazinge tii but [Tears of joy] nyimbo sio akhalaq
2026-09-15 09:02:11
0
user6298881560911 :
Allah nikubwa sn
2026-09-14 07:40:46
0
Aisha haji :
alhamdulillah
2026-09-14 19:28:51
0
MAMAKE MURSAINA :
1. Shairi: MIPANGO YA MUNGU HAKUNA ANAYEIJUA
1:
Wenzio wakiondoka,
kwa gari wakakwacha,
Moyo usije fawaka,
kwa huzuni inayochoma,
Kilio kikikufika,
ukiona giza kucha,
Hujui mbele ya miaka,
ni heri gani yasoma.
2: Ukajaribu zuia,
wasimame wakataa,
Machozi yakakujaa,
uwanjani uking’aa,
Kumbe kifo chawajaa,
mbele kule chawashika,
Lile gari lilopaa,
bomu likalilipua.
3: Wote waliangamia, waliokukimbia,
Wewe ukabaki hai,
salama ukatulia
,Mungu alikuepushia,
janga lilowangojea,
Hatma yake Jalia,
mwanadamu haijui.
4: Sikitiko la leo hii,
huenda ndio salama,
Kuachwa usililie,
kuna heri ya mapema,
Kila jambo lipokee,
kwa shukrani na hekima,
Mipango ya Mungu mteee,
ndiyo yenye mwisho mwema.
2026-09-13 14:01:27
2
faudhia yazid :
mung mkubw
2026-09-13 20:45:45
1
mikoba OG :
Alhamdullillah
2026-09-15 09:23:49
0
SHAFII BRAND 🕌 :
mungu akupe baraka nyingi kwa funzo la leo
2026-09-14 13:56:22
0
amiruu :
allahu akbar
2026-09-14 18:56:37
0
Fakih Mbarouk :
Kila linalokuepuku linakheri na ww usilalamike
2026-09-13 19:14:31
1
Create nickname :
Hapa naikumbuka Ile ndege iloangukia jengo LA madoctari
India Kuna bidada aliachwa nakulaaaaumuuuu sanaaa hatimae ikasikika imeanguka ndio Hao
2026-09-13 20:51:22
1
To see more videos from user @mamake_mursaina, please go to the Tikwm
homepage.