kwakweli kifo ndio kiboko yetu tuishi kwa kupendana tu mana wote tunalala nyumba moja
2026-09-13 15:20:41
4
Mina Ally :
yaaaarabi tujaalie mwisho mwemaaaa
2026-09-13 20:56:44
2
josephngombe338 :
amina
2026-09-14 03:54:19
0
jkazumba :
kijana mbabe ni Yesu pekee aliyeshinda mauti
2026-09-13 20:52:02
0
Chriss uchebe 🍎 iPhone store :
Respect 🫡
2026-09-13 19:29:17
1
merrygaitan :
Amen
2026-09-14 04:06:51
0
John Chui :
Exactly,Brother.
kifo ndiye adui pekee ambaye kamwe Hatuwezi kumshinda.
Chini ya jua Kuna maadui wengi sana..Umasikini,maradhi,kufirisika,kudhulimiwa,ila katika vyote hivyo unaweza kufanya comeback na ku-retain Kila kitu na hatimaye uka-win.
But when it comes to death,Kila kiumbe kinarudisha mpira kwa kipa.
Mhenga mmoja aliwahi kusema "Death smiles at us,all we can do is to smile back"
Hapa Nimekumbuka nyimbo ya Dr Remy Ongala-Kifo...Wacha niiskilize😃😃