@naseebu.mx:

Naseebu MX
Naseebu MX
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 14:33:05 GMT
15422
1361
62
32

Music

Download

Comments

dantown30
user7782346947487 :
Siku madereva wa TZ mtakapojua kuwa bandari haiwezi kufanya kazi bila dereva ndo cku ambayo maisha yenu yatabadirika kuwa mazuri
2026-09-13 17:22:24
28
erickkinyere
erickkinyere :
kwel Father [Pray][Pray]
2026-09-13 19:51:33
0
kelvinmlowosa128
Kelvin Mlowosa :
hiyo tarehe ambayo tumekubaliana tusiipuzie. dungu zangu tufike hamna lingine
2026-09-13 17:25:19
14
dizomnyamao6
Van dizo tz💪♥️☑️ :
huo ni uonevu tu wa viongozi kutaka nchi hii iwe bize na majambazi,vibaka na watekaji Yani ndo kitu wanakitaka kwasababu mtu unajinyima unaenda kusoma Hadi kuipata lesen nika kiasi Cha sh6050000 na hapo Kuna familia inakutegemea alafu unanikiwa kusoma na kupata chet na lesen alafu Leo hii nakatwa point kwa makosa ya gari gari ni ya dereva au boss?mi nina hukumiwa kwa makosa ya barabaran ususani alama za babaran Kuna makosa ya boss na ya dereva kwann makosa yote apewe dereva?sio sawa kabisa huu ni uonevu
2026-09-13 17:09:59
7
user7433328838622
salumu :
kwaheshima sana fatha
2026-09-13 17:16:27
2
canali.top3
canali top :
sawa Sawa
2026-09-13 17:22:05
3
bakarimiraj
44 2 :
nakubali san blaza pwent hiyo
2026-09-13 17:25:35
6
user9855026623168
lumlum :
jamaa ana point nzuri
2026-09-13 16:59:29
4
user6019852522739
user6019852522739 :
hapo sawa kbs
2026-09-13 14:41:55
6
rashidimtika912
rashidimtika912h :
hata ukiongea haisaidii kaka tuwaache wafanye watakavo mwenye mamlaka ya JUU anasikia
2026-09-13 17:29:34
3
kaselenge75
kaselenge :
hata ivo jambo la kukata poind halitakuwi likatwe na trafk, hwa matrafk wanafanya hukumu nyingi za uonevu
2026-09-13 17:38:55
2
user3059515460888
Erick4rd :
Kama wameshindwa kutumia hekima hakuna kuwaomba wametuzoea sasa kwanini tusiwaonyeshe kama wanatukosea kwa vitendo aaah
2026-09-13 17:21:46
7
steven.antony6
Steven Antony :
mtetezi kaka upovizuli tupazesauti sasa madeleva maana tunapoelekea sasa tutawachia waendeshe wao kusoma tumesoma sasa wame anzisha lingine
2026-09-13 17:22:06
3
chumbangenikelvin
chumbangenikelvin :
tena wametuzarau sana kwaili sioswala lakulikalia kimya kwaili apana wakakae tena kutunga sheria
2026-09-13 17:41:52
1
brian.james51
JAMES PAPAA :
sasa ivi tuna jifunza ngumi 🥺
2026-09-13 20:02:13
0
moto.lee7
Moto Lee :
oya mkuu kwanza izo mambo ya poiti tuzikatae zisiwepo tusha soma kama walivyo twelekeza point tukakae
2026-09-13 19:47:06
0
hardtaget7
Hardtaget :
Hekima??????? Wanahekima akina nani? Tangu lini?
2026-09-13 19:44:56
0
user1583520725848
Mercedes-Benz Ujerumani :
braza ww unakili nyingi
2026-09-13 17:14:01
3
user2581790025225
balabala :
nikweli broo askari wengi wamebebwa na KAZI zao sio ngumu ndomana
2026-09-13 20:05:53
0
prezy.dar
prezzy Dar :
hahaha tunaongea tu kufuraishaa baraza tutabuluzwa ad duniaa inaishaaa
2026-09-13 19:27:14
0
malielacpt.com
[email protected] :
Mm naomba niulize; 1)Kosa moja inakatwa point Moja, kwa kosa la ainagani? 2) Imekatwa point 1 au 2 leo baada ya apo nimefanyakaz miez 6 au zaidi bila kutenda kosa tena, je kuna ofa ya kuludishiwa point zilizokatwa?
2026-09-13 20:05:29
0
noelpetroshaur
noelpetroshaur :
kaka kwel barabar kweli mbov san
2026-09-13 19:38:09
0
user196040686
Erick :
Madereva kwer wanaonewa sana wakafanye nn sasa kila siku dereva tu
2026-09-13 17:49:02
2
shabanijumanne48
shabanijumanne48 :
madereva tubadilikeni nikupangatu mgomo atawikinzima jmn
2026-09-13 19:35:04
0
user4510788739128
user4510788739128 :
kamanda umetisha
2026-09-13 17:18:11
3
To see more videos from user @naseebu.mx, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About