Zanzibar hakuna Shule ya msingi sijapatapa kuiyonapo Shule ya msingi😳
2026-09-15 11:52:19
1
Rastafahim :
mambo msiige mnaambiwa
2026-09-15 09:29:09
0
Rastafahim :
now park hayat
picha ya sasa hivi
2026-09-15 09:30:44
0
Mohamed Abri :
Msitudanganye! Sisi Wazanzibari Hatutumii neno Shule bali tunatumia Skuli. Na hiyo nyimbo mwaka 1960 ni mwaka bado yupo mkoloni mngereza
2026-09-14 20:13:49
0
ahraf wedding dresses :
apokwenye kivazi umefeli
2026-09-14 12:44:33
0
Samiru Al din :
wewe una visa sana
2026-09-13 18:34:57
1
Ally Yussuf :
Zanzibar hawaendi skuli na vipensi kama askari wa zaman
2026-09-15 11:35:39
0
mzalendo :
Zanzibar hakuna neno "shule" tangu enzi tunatumia neno "skuli" Wacha kujitoa ufahamu. Labda hii Iko Tanganyika.
2026-09-23 16:06:34
0
Amina Msabah :
Zanzibar gani hii shule inapatkana[Tears of joy] chapili Zanzibar hawajah vaa pens shuleni[Tears of joy]
2026-09-17 20:08:35
0
mzalendo :
Wacha kupotosha kizazi Cha leo
2026-09-23 16:07:51
0
Juma Ally :
apo ndokwanza lakwanza🤣🤣
2026-09-14 12:08:23
0
rojas :
🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 01:07:45
0
Omar :
WALIOSOMA NG'AMBO SCHOOL NA BAADAE RAHALEO PRIMARY SCHOOL 1984 ~ 1991 - GONGA LIKE HAPA TUJUANE.
NA KUNA ULE WIMBO:
"Jitambue kama wewe ni mjenzi wa Taifa..
Nami kiongozi wa Taifa la kesho
Fika Shule mapema
Vaa nguo safi
Chana Nywele zako
Na ukate Kucha
Amkia wakubwa
Na walimu wako
Na wazee wote
Wajao shuleni
Tembea taratibu....😭
Taifa la kesho tushakuwa wazee sasa I'm 50 yrs
2026-09-14 07:53:38
0
To see more videos from user @garo3029, please go to the Tikwm
homepage.