@clanson27: Staa wa Bongo Fleva Marioo ametwaa tuzo ya Best Male East Africa kwenye AFRIMMA 2026, iliyofanyika Dallas, Texas, Marekani. Marioo alikuwa akichuana na baadhi ya majina makubwa Afrika Mashariki, lakini mwisho wa siku tuzo imeangukia Tanzania! Hii ni hatua nyingine kubwa kwa Marioo na muziki wa Tanzania kwenye jukwaa la kimataifa. Hongera Marioo! Tanzania tunajivunia! #Marioo #AFRIMMA2026 #BestMaleEastAfrica #Tanzania #ClansonJM