@dr.tungu: Je, umewahi kuhisi tumbo linavimba au kupata maumivu baada ya kula na ukapuuza? Hayo si maumivu ya kawaida, ni ishara kutoka mwilini mwako!" Matatizo ya mmeng'enyo wa chakula yanaweza kujitokeza kwa njia nyingi kama vile: * Kuvimba tumbo na kujaa gesi * Kiungulia au maumivu ya moyo * Kichefuchefu na uchovu wa mwili * Kufunga choo au kupata tumbo la kuhara Dalili hizi zikitokea mara kwa mara, mfumo wako wa chakula unahitaji msaada. Usipuuze afya yako! Ikiwa unapatwa na dalili hizi mara kwa mara, muone daktari haraka kwa ushauri na matibabu." Like, Save, video hii kwa ajili ya baadaye, na Share kwa rafiki yako anayehitaji kuona hii! Nitag kwenye maoni kama umewahi kupitia dalili ipi. #afyayatumbo #elimuyaafya #afyakwanza #health #tiktoktanzania

Uzima Natural 🩺
Uzima Natural 🩺
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 15:03:27 GMT
246
3
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @dr.tungu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About