pasta umenikumbusha mbali sana niliwahi kufanya kazi sehem lkn huyo meneja alinipitisha kipindi kugumu mnoo alikuwa akiniibia pesa nikipiga mieezi mitatu sijapokea mshahara nahapo ninafamilia mimi.ndo baba ndo mama. nilikuwa nalia mnooo ikifika musa wahesabu pesa hazijakamilika. niliumia sana mwaka 2022 stahau lkn Mungu ninani hata ajamamanze kwangu nilifunga nakuomba maan alikuwa anakataa sie yeye anahusika akiona nalia anakuja ananimbia ninyamanze aiseee acha Mungu sitwe Mungu alidhalilika mchnaa kweupe. yani hiyo story ndefu nimeelezea kwa ufupu nakutoa ushuhuda mfupi juu yakwamba Mungu c mwanadam 🥰🙏🙏🙌🙌
2026-09-14 08:19:59
4
Sarah Simon :
amina kweli
2026-09-13 19:45:22
3
kasekwa :
kwel kbc
2026-09-13 19:29:19
1
33 :
nimejifunza kitu ahsante pastor
2026-09-13 23:03:25
1
Janet kezza :
Barikiwa sana pastor
2026-09-13 15:51:15
1
Finelady😲 :
mi Huwa naenda kulia watu hawanioni
2026-09-19 13:51:06
0
tuke🥰🌹 :
amen
2026-09-20 12:59:30
0
Subira :
Ameen
2026-09-15 08:13:16
0
BUSINYA FEZA :
amina
2026-09-14 10:43:06
0
plamedy umutesi :
Amina
2026-09-18 06:51:33
0
Judith Lema :
amen
2026-09-17 18:00:27
0
Victoria Buhuru :
Amen
2026-09-15 08:58:24
0
lucymwinami34 :
amen
2026-09-15 19:52:13
0
haika :
nimepata ujasiri mkubwa Sana kuna jirani alinikwaza ila hanipat mshamba yeye
2026-09-17 07:53:38
1
MissQueenlisa :
nawaambia watu kila siku bora nikalilie chooni lakini siyo adui aone chozi langu
2026-09-15 06:37:03
0
Jamal Banks :
🙏🙏🙏
2026-09-13 20:07:53
1
user1257882405163 :
🙏🙏🙏
2026-09-13 23:01:55
0
veedanny❤️🎤 :
🙏🙏
2026-09-15 07:20:09
0
Dotto Sabato :
[Pray]
2026-09-17 18:03:35
0
To see more videos from user @edenitv, please go to the Tikwm
homepage.