@islamicswahilinet: NDOA NYINGI ZINAVUNJIKA KWA SABABU HII, LAKINI WATU HAWAIANGALII Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 15:27:12 GMT
12737
931
19
92

Music

Download

Comments

kipyuda_wa_family
mounah love 💕 :
mimi nipo hata tukila inshaallah naridhika ☺️
2026-09-13 16:26:31
1
mehmetmohd
Mehmet khan :
ila shekh walidi😂
2026-09-13 17:49:51
3
princessaria18
princess saria :
asantha
2026-09-13 16:52:12
1
arafatmrj91
MRJ :
Ustadh yuwaeka na Vina pia, Sambusaaa wa Faloodaaaa,
2026-09-13 21:03:04
0
amina_tailoringmambrui10
Amina.tailor :
ila shekh😁
2026-09-13 19:34:46
0
usermaysaah
maysadulla :
acha niambiwe nachaguaa sanaa
2026-09-13 16:21:20
1
zenna.hassan
Zenna Hassan :
vijana mmimesikoa hii😂😂
2026-09-13 19:09:52
0
user9837438117780
user9837438117780 :
njaaa shekh
2026-09-13 17:36:10
1
houseofclones45dar_
HOUSE OF CLONES 45Dar :
agg chop
2026-09-13 20:35:48
0
khadijakazen1
Madaam khadija :
😂😂😂
2026-09-13 20:43:19
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About