@twaiba_classic:

TWAIBA_CLASSIC
TWAIBA_CLASSIC
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 15:49:34 GMT
182197
13286
619
887

Music

Download

Comments

user042908300
Minaj :
lulu anampenda mjomba
2026-09-13 18:29:55
117
user1232024757505
user1232024757505 :
ABDALLAH mbona kama hafurahii uwepo hapo
2026-09-13 16:58:57
115
suhy212
ayda :
jamani abdallah amenikata mbavuu kwa kucheka wallah😂😂😂
2026-09-13 16:11:53
106
rabia_heena
RABIA_HEENA🖤 :
nilijua tu kwa Abdalla hutoboi😂😂😂
2026-09-13 19:04:45
113
lara.liz88
Lara liz🍂🪶🦥 :
Kama unadanganya danganya Hao wajui chochote😁😁🥰
2026-09-13 23:06:47
52
zeeybby51
🌹🦋Z33bby🦋🌹 :
Mjomba ni mpole😂
2026-09-14 06:11:52
25
alihusseinbandi
Alihussein :
Allah awafanyie wepesi Hawa watoto wazuri maisha yao yawe mazuri na wang'ae.
2026-09-13 17:40:40
55
mudyzeke
mudyzeke :
mimi walaa staki uniingize🙌🙌 kama wadanganya danganya wtt zako maana hawaelewi lolote😜😜 mm sina hata shilingi kumi😜
2026-09-21 17:35:04
25
talullah_cakes
Talullah McBash :
Lulu mshari jamani 🤣🤣🤣 Mola azidi kukutilia barka maishani twaiba uwalee hawa watoto wazidi kufarahi
2026-09-13 17:18:02
21
beiyaubwete.x.uk
🌺 flowers dreamer 🌹 :
nikikutana na video za watoto wako nacheka nafurai hata nasahau kama Niko na huzuni Allah ibarik InShaaAllah kwa upendo wako🥰🥰🥰
2026-09-14 04:11:44
33
em_cmon
Cmon🫶🇹🇿 :
😂😂😂😂😂jamaa hapa kaamua kutulia
2026-09-14 08:11:53
13
farhia.oman
farhia oman :
daaa nmecheka uyo abdallah 😁😁😁
2026-09-13 17:26:27
15
linnahlucky
BJara :
Princes Shamim in her beautiful smile💕
2026-09-13 17:40:58
42
nafisahome
Nafisa💕 :
abdalla kafunga mchezo 😂😂😂😂
2026-09-14 07:33:47
15
prisca.laban6
Prisca Laban :
Abdallah Nakupenda mwanangu🤣🤣🤣Una akili saana
2026-09-13 17:46:13
23
babeshsultanbabes
babesh sultan :
lulu mwenyew kaogopa kusikia coca cola🤣🤣🤣
2026-09-14 04:12:28
37
madamjenipher28
Roadmakers Products :
Twaiba na wanae wakienda vacation dubai
2026-09-14 13:40:22
31
shakila.zubeda
Huda 👌♥️ :
lulu anavaa vizuri 🫰
2026-09-13 17:14:36
10
nully41
🥀nully🥀 :
abdallah amemaliza kila kitu🤣🤣🤣🤣
2026-09-13 15:59:22
13
farhiyauser3087352909534
ratifa abduly :
abdallah nakupenda sana yani nimefurai sana mungu akupe umli mlefu
2026-09-15 05:06:58
5
mendher..elbahary
Mendhir El-bahary 💫 :
Hapo sasa timu imekamilika mashallah 😂😂
2026-09-14 07:09:50
6
mammy_227
Seiryam❤️ :
Mjomba yupo hoi
2026-09-14 07:41:29
6
edyboychamilion
edyboy Chamilion :
abdallah nikija tanga pale kwenu kunauzwa mihogo na mishkaki balaa nikija ntakutafuta mdogo wangu tukae pale🤣
2026-09-13 17:56:15
5
ayandah2316
anne kasudi :
akh mm naona matiang'i mahali na grey
2026-09-15 07:30:03
1
maryam.thomas53
Mrya🎀🩷 :
jmn abdallh ana hat mia 😳 ataki uongo
2026-09-14 15:48:31
2
To see more videos from user @twaiba_classic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About