@_star_jux_001:

_star_jux_001
_star_jux_001
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 15:54:57 GMT
35772
1966
173
32

Music

Download

Comments

ibrahimhlody
ibrahimlody :
dah imenitoa machozi nilikua nikisikia hii ramadhan mda wakaribia kuftar nipo na babayangu ila saizi amesha fariki nishazika dah nimekumbuka mbalisana nalia🥰🥰
2026-09-14 21:47:19
50
user8410870337219
Rubby Rubber 🌺🌺 :
kasida hii inapigwa wakati wa Ramadhan kwenye FM 📻
2026-09-13 17:56:09
26
nihan0493
nihan :
Eid asubh nakumbuka mbali sn🥰
2026-09-14 06:14:47
19
binmohdjaffar
Abdulfattah mohammed :
hii qasida inanikumbusha marehem mama yangu mdogo kafariki 2015 kaniachia mdogo wangu
2026-09-13 17:00:41
27
jonijoo40
Jonijo Msouth 🧔🇿🇦 :
Edi ya kwnza asubuh mashallah 🥰😏
2026-09-13 23:35:16
14
ashuu.artist.heena
Ashuu mamy henna🥰🦋👌 :
huletwa skukuu asubuhi au kwenye redio ya kipidi fm
2026-09-14 04:07:19
11
dullydee878
Dully Dee :
8 mda wa chuo
2026-09-21 13:15:09
2
bakry.mkumbukwa
Bakry Mkumbukwa :
Ramadan wakat wa ftali
2026-09-20 17:36:10
2
salmabintsamur
مرحباً :
Kaswida ya Eid
2026-09-16 09:02:12
1
ibrahim58162
Ibrahim :
iftar time wakati wa historia za masheik wetu
2026-09-18 05:32:27
1
ozil.mustapha
Ozil Mustapha :
sawa inshaallah tunakubali sote wakwetu
2026-09-18 01:10:44
2
king.hrith2
KING H@RITH :
Ilikuwa inapigwa ramadhan wakati wakufturu nikiwa na bibi yangu kipenzi saateni zanzibar mungu amlaze mahala pema peponi ameen 🤲nimekumbuka mbali sana😢
2026-09-17 19:44:02
2
sahelsaid07
SAHELSAID07 :
sikukuu😁
2026-09-14 17:35:43
2
lito_dark
lito.dark :
baada ya swala ya eid
2026-09-14 04:27:04
2
zaynababdullah6
Zaynab Abdullah :
Enzi hizo Skukuu kila nyumba inaweka hii Kasida had raha 🤣🤣
2026-09-14 17:10:37
4
aishaameir933
❤️ :
ramadhan saa mida ya jion
2026-09-14 07:21:08
1
huzaimahimid
Hudhaima himidi :
wadau hiikasida nazipenda ilasijui inaitwaje
2026-09-14 07:06:08
2
user2137299368196
ameeenah :
Eid
2026-09-14 06:35:09
2
captain.jisskhu
Captain jisskhu :
Eid mosi asubuhi mda wa kula maleja
2026-09-16 09:50:41
1
muhammedkombo727
Medy the don❤️💕😘 :
ramazan 2[Heartwarming]
2026-09-16 09:36:10
2
thug.life908
thug life :
Kariakoo mchn
2026-09-14 19:32:26
1
_dogo_fei_6
🤞 Feii bk 金水戈 :
ramadhan
2026-09-15 15:41:57
4
luckylady245
luckylady :
eid mosi
2026-09-14 10:04:35
4
badman9330
Badman :
umenikumbusha mbali sanaa
2026-09-14 15:49:59
5
msomal7
Msomal business :
dah unanikumbusha mbali
2026-09-14 15:50:18
4
To see more videos from user @_star_jux_001, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About