amen Mungu wangu nakutumaini wewe katika maisha yangu yote na watoto wangu wote Asante sana Mungu wangu kwa huruma zako na upendo wako na Baraka zako na ulinzi wako Asante sana
2026-09-14 00:33:23
5
Rina erpdius :
amina
2026-09-15 08:44:45
0
Damaric Yambaz :
asante yesu
2026-09-14 18:46:27
1
✨Bambiii🫧🤎 :
Matendo 17:28 ‘’ Kwa maana ndani yake tunaishi, tunakwenda na kuwa na uhai wetu’’ ❤️🙏