ukijua ukweli kimbia acha kufanya wengine kujua mazara yake watakutupa uko uko ulikotakiwa kutoka
2026-09-13 17:25:00
40
user91266383133315 :
Don't spend your time to change people. Use your time to change yourself.
2026-09-13 18:33:14
0
kenny sasa :
you can not save everyone...move on
2026-09-13 17:29:07
0
KhadijaIrene :
kwa uelewa wangu anamaanisha kampani uliyonayo ni ya watu wapotevu,umeshtuka ukataka uachane nao wakaja na mbinu zao wakakusukumia kwenye njia ileile uliyotaka kuikwepa(shimo)
Kiroho unatakiwa utumie nguvu ya ziada kuwabaini wabaya wako na kutengana nao....Muamini Mungu na usali. Wazo langu
2026-09-13 16:44:38
48
🌼 :
You dont have to save everyone ,Some might drag you along the downfall .
2026-09-13 17:14:27
14
Clear :
Galatia 6:1 " Ndugu zang mtu akighafilika katika kosa lolote, nyinyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa Roho ya upole, UKIJIANGALIA NAFSI YAKO USIJE UKAJARIBIWA NA WEWE MWENYEWE....Kila kosa unalolisahihisha hakikisha haliw mtego kwako ww mwenyewe 🙏🏾
2026-09-13 18:00:43
5
Francis :
Kuwa makini na watu unaofuatana nao kwa sababu hata kama wewe una akili na unaona hatari, ukibaki katikati ya watu vipofu au wajinga, watakusukuma kwenye maangamizi yao bila wao kujua
2026-09-13 18:19:51
6
Mo shwaty♓️ :
Sio kila watu wanaitaji kusaidiwa 📌
2026-09-13 17:27:35
5
MZAZI77🌳 :
wafanye watu waone kwanza kabla ya kuwasaidia,ukiwasaidia kwakua wewe umeona tatizo wao awaja ona wewe ndio utakuwa tatizo kwao
2026-09-13 17:53:58
2
Mrs Burton 😘 :
Nimeelewa kwamba Kuna mda binadamu aitaji msaada ipo siku watakushusha tu
sio kila wenye mbio au wenye hekima na maharifa ndo watakao fanikiwa.. bali wakat na bahati uwapata wote, kwahiyo ukifanikiwa kujuwa ukweli kweny jambo lolote katika maisha yako usiangalie watu wengne mind your business..nimejaribu tu mkuu kwa uwelewa wangu😁😁
2026-09-13 17:34:28
1
zureah :
huruma siyo malezi
2026-09-13 18:38:23
0
Ms Clare💕 :
ishi km unavyoamini maisha yanataka uishi...don't fall kwasabb tu ya majority 😄
2026-09-13 17:10:09
1
crep printing :
mafundisho yako yanaingilia biashara za watu🤣🤣🤣
2026-09-13 16:46:48
3
Raw essence :
Ukibahatika kuokoka kimbia
2026-09-13 17:44:15
1
Chubby🌸🫧 :
HAO UNAOWATAKA KUWASAIDIA AU UNAWASAIDIA BAADHI WANATAKA UISHIE UANGUKE KAMA UNAKIPATO UFIRITHIKE🥺
2026-09-13 16:56:14
8
lajabu Mkude :
msaada wKo unaweza kukupoteza
2026-09-13 17:38:06
0
Saraphina :
uwe na kikomo cha kusaidia watu
2026-09-13 18:45:43
0
ai_ em_mwana..artist//henna// :
pesa haitaki mtu muoga[Tears of joy][Pray]
2026-09-13 17:41:19
0
𝐁𝐚𝐛𝐲 𝐌𝐚𝐚𝐡🥹🙏 :
Fanyeni m like apa nirudi nielewe maana na hii kitu
2026-09-13 19:05:09
0
Oscar mwakanyamale :
maisha yetu yapo silin sana ungejalibu kuona yanayo enderea kwakwer ungeshangaa sana ila uwez kukwepa kutokana nakwamba mifumo ishatengenezwa tyr
2026-09-13 17:38:48
0
aginesjohnkabibi :
kwa sababu unahalibu biashara za watu wakubwa kwenye hii dunia kwa kuelimisha watu kuhusu chakula na madawa
2026-09-13 16:47:20
0
To see more videos from user @msemakweli_macha, please go to the Tikwm
homepage.