@dalali_zanzibarone: #RealEstateZanzibar 🌴 TUNAUZA SHAMBA MIWANI UCHUKUNI 🌴 Shamba letu lina ukubwa wa hekari 3, likiwa na mimea mbalimbali ya kudumu na ya matunda, ikiwemo: 🥥 Minazi 🍊 Michungwa 🌳 Mishelisheli 🥭 Miembe 🍈 Mifenesi 🍉 Mipapai 🍌 Migomba 🍍 Minanasi na mingineyo. 🏠 Shamba lina nyumba pamoja na banda la kuku. ⚡ Umeme upo 💧 Maji yapo 📍 Sehemu nzuri kwa uwekezaji wa kilimo, makazi au miradi mingine. 💰 Bei: TSh 150,000,000 Maongezi yapo kwa mteja serious. 📞 Kwa maelezo zaidi: +255 686 230 110 +255 776 109 092