leo ngoja niwape somo kidogooo ikifika wakati wa mechi za kimataifa chama anageuka na kuwa mfalme wa soka la africa pale msimbazi sasa ubaya tena wakamwongezea na moto mwingine usiozima libase gueye ni yeye chama walo izika maithy wanderes na kuwapoteza kabisa katika mashindano ya kimataifa hawa wachezaji tujenge sanamu zao pale msimbaziiii nawakubali sana wanangu endeleeni kuipambania nembo ya mnyama bila kuchokaaaaaa@🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-13 18:47:07
4
🚆Ⓜ️5️⃣5️⃣⚜️ :
sitaki kuelewa mie najua Dumbia ndio kafunga gori zote 6🤭
2026-09-14 10:41:24
1
jay love :
unyama ni mwingi
2026-09-13 18:13:01
4
Baba giann :
ibrahim baba wa nini vile😂😂😂
2026-09-14 07:57:55
1
Man Chunku :
n mwamba kwel kwel mpaka nalia jaman simba inanipa raha sanaaaaa
2026-09-14 09:17:05
1
rugakiza goodluck :
nimeanza kuamini ligi ya ndani uchawi upo haki🤣🤣🤣
2026-09-14 10:25:06
1
farmer OG :
Sio mzambia tena, ni muha wa kigoma
2026-09-14 11:41:52
0
BABA MILLAN :
sichoki kuitazama💯
2026-09-14 11:50:12
1
Dickson sok :
SIMBA nguvu moj
2026-09-14 07:09:54
1
David :
baraka mpenja ameteseka sana Jana sijui saivi ana Hali gani ile sauti yake
2026-09-14 15:20:36
0
Iman pipin 18 :
kwahii Simba hatar
2026-09-14 07:45:07
0
barakasiria2617 :
simpa nguvu Moja ubingwa tunaoooo
2026-09-14 07:32:47
0
jojo💕 cut£ :
goli la 3 tumpe doumbia jmn maan anazurura.tu uwanjani
2026-09-14 07:55:30
0
da tee :
nyie jana chama alikua anakimbia balaa ila majirani wanajuta sasa ivi kumuacha
2026-09-14 12:45:55
1
BeCompetent Smart Learning :
tutumie uwanja huu kweny ligi
2026-09-13 18:25:58
1
Jovini emmanuel/Tourism /Guide :
kila goli pasi inatoka kwa mapema ndo unaenda kutengeneza goli la kwanza mpka la nne
2026-09-14 12:46:48
0
malcom :
goli la 6 keletso angeamua angefunga mwenyewe kwa tobo pale
2026-09-14 13:19:04
0
Issa Mwinyi :
😁😁😁
2026-09-14 15:20:53
0
Issa Mwinyi :
😳😳😳
2026-09-14 15:20:41
0
Issa Mwinyi :
😂😂😂
2026-09-14 15:20:48
0
Issa Mwinyi :
😳😳😳
2026-09-14 15:20:45
0
Issa Mwinyi :
😁😁😁
2026-09-14 15:20:43
0
Issa Mwinyi :
🥰🥰🥰
2026-09-14 15:20:50
0
engineramiri1 :
😳😳😳
2026-09-13 20:16:25
0
To see more videos from user @simbasportclub415, please go to the Tikwm
homepage.