Nikama nimerud kundi la wenye bahati sana imagine hii imenikuta asbuh nyie mlioona usiku sijui mnaendleaje huko😂😂😂😂
2026-09-14 05:25:54
745
🦋 lily_ butterfly 🦋 :
imagine unaskiliza hii story saa saba usiku km mimi ukiwa chumbani pekeako na taa umezima😩🤭😂
2026-09-13 20:35:26
246
suzymalow1 :
Hii inanifundisha nisiwe mama wa nyumbani tu
2026-09-13 17:44:16
185
Harold :
Salam maria umejaa neema bwana yunawee. Ehee mistari imesh poteaa
2026-09-13 20:38:12
92
🍂𝓝𝓮𝓮🦋🤎 :
Unae angalia na WiFi ya bure tujuane 😂💔
2026-09-15 08:55:09
232
Amina Cute :
mama weeeee🥹🥹 naogop 😂😂
2026-09-30 15:16:33
0
❤️........Little wolf...🌹🪷🐺 :
umeme umekata😭😭😭
2026-09-13 18:16:30
41
Dinnah🍂🪸🦋 :
Mimi baada ya kujua sio mume wangu😂😂
2026-09-15 12:41:11
64
Mama G²❤️ :
mmoja ajitolee anirudishe kesho😩😩
2026-09-13 20:35:03
57
lily marro :
Umenitisha why Lilian Jmn 🤣
2026-09-16 13:12:34
1
🖤🥀Summy🖤 :
Alaf muuh bhn stor hiz zilet asubuh bhn
2026-09-13 17:21:58
371
💦Zubeda💞 :
Jmn naogopa alafu nipo mwenyew nikumbatieni jmn🥺
2026-09-13 17:44:25
77
Alaynah_stylish :
Angalau imenikuta saa tano asbh mpaka ucku nitakuwa nmesahau
2026-09-14 08:32:10
15
momy_sky1 :
Naomba nisikilize kesho adubuhi
2026-09-13 19:05:01
95
Golden 😇 beautiful heart ❤️ :
tunaosikiliza saa 21 usiku like hapa 😂😂😂 moyo unapwita uwiiii
2026-09-13 18:02:25
70
nana :
ilinikuta hiyo namkuta ndugu yangu sebuleni namuongelesha hanijibu kila nikimuongelesha ananiangalia tu hanijibu ikabidi nitoke nje getini nakutana na huyo ndugu yangu akanisalimia
2026-09-14 04:17:59
42
Soweto_outfit🛍️ :
Lengo lako nikae njeee au
2026-09-13 18:30:30
74
Reykimdory :
juma nne mchana hi😂😂😂😂😂
2026-09-15 10:54:53
5
@burma kid :
content au vitishoo
2026-09-13 23:15:48
29
To see more videos from user @muu.saleh, please go to the Tikwm
homepage.