@jvckieseven: mwaka 2003 banza stone alikuja na huu mkwaju ambao naweza nikasema ni mkwaju bora wa muda wote kwa kushirikiana na band ya TOT PLUS wimbo unaitwa elimu ya mjinga ni majungu, producer simfahamu 🤣🤣ila namfahamu mpiga kinanda tu ni thabit abdul mtoto wa ilala. kwa ambao hawafahamu ni kwamba banza stone kaacha mtoto ambaye anaimba bongoflava kwa sasa anafahamika kama HANSTONE 🔥🔥🔥🔥

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 17:15:58 GMT
41606
1501
44
208

Music

Download

Comments

tigiyamhulilo
tigiya_mhulilo :
mtoto wa Ilala Banza stone Mwalimu wa walimu
2026-09-22 12:51:50
7
user310667040
user310667040 :
Huyo msukuma alikuwa moto
2026-09-22 14:55:02
6
amourprincetz
amour prince :
marehemu Mwasiti kitoronto na Banza stone Mungu awarehemu
2026-09-22 13:18:37
5
ednaturuka
mama Alvin :
kaburi ni tajiri 🥺
2026-09-16 11:06:29
2
n.a.s.s.o.r
nassor :
sisi watoto sinza tunaelewa kuhusu hiki kipaji Cha huyu mwamba🔥🔥
2026-09-23 04:35:11
3
ommy_ibra
Ommy Ibra :
Banza Stone alikuwa mbele ya muda sana, Mwenyezi Mungu amrehemu huko aliko
2026-09-22 17:58:20
8
didah.cute13
Didah cute :
rip banza stone
2026-09-22 17:30:33
1
dicksontwaibu578
Dickson Twaibu :
zipo itv pekee mitandaon hazipo
2026-09-24 05:27:06
0
theresiankwande
theresiankwande :
Rest well Banza Stone
2026-09-22 19:32:30
1
mahamalaika1
Angeiy22 :
Goma langu [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-23 05:20:42
1
user3260188108435
saadamosh :
hii band ilikuwa moto sana alafu kuna ile wimbo unaitwa mnyonge alikuwa na pauline zongo aisee ule wimbo naupenda sana
2026-09-22 13:16:11
4
alexs.elias3
Alexs :
naam hauna mpinzani huu wimbo
2026-09-22 08:53:00
3
user5134655219883
Kharim Kharim :
le general banza stone
2026-09-22 07:19:51
1
userts7e3t9bmb
Pablo Escobar :
rip banzaston
2026-09-22 16:29:57
1
ftotechnologies
Furaha M Hassan :
Banza alikuw mwamba
2026-09-22 05:14:02
1
imma.the.boy22
Imma the boy 🔥💯 :
ndo namaliza la saba💯💯
2026-09-22 15:50:40
1
josephjames8435
[email protected] :
Enzi izo mpaka leo nyimbo nilikua naikubali sana mpaka sasa naikubali mno,
2026-09-22 19:53:37
1
jacobbkayila2
Jacobb Kayila2 :
huu ni wimbo mkali sana R.i.p banza stone
2026-09-22 18:11:32
1
user8342116113619
0mar bare :
almaruhum ramadhan masaja banza stone
2026-09-20 21:40:25
1
amadybakari8
Amady bakari :
banza stone
2026-09-14 14:01:55
1
.ayatollah12
AYATOLLAH ALI KHAMENEI :
2026-09-23 12:00:25
0
florianshenda0
florianshenda0 :
Marehemu banza alikua nambari one
2026-09-23 15:33:15
0
mwan784
ndemanga pakaja :
enz za okmani
2026-09-23 20:12:45
0
saudasauda460
Sauda Amiri :
Dah ni kitambo kidogo 🥰🌹🌹
2026-09-23 12:22:38
0
user7097685587874
Good luck :
Swadaktaa uyo mtu alikua mtunzi bora
2026-09-22 08:10:24
0
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About