@official.madeba77:

MADEBA SAMPAYO OG
MADEBA SAMPAYO OG
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 17:25:43 GMT
43570
4341
376
168

Music

Download

Comments

denohramesh
DENNOHMCHELSEA🔵 :
Man u to regelation is here we go😂😂😂💔
2026-09-13 23:01:13
0
always.on.time08
always on time :
dada pipy nishushee nishushee nishushee
2026-09-13 22:50:03
0
sameermbaraka
Sameer Mbaraka :
CARRICK ANGEPEWA TIMU MWANZO WA LIGI ANGECHUKUA KOMBE
2026-09-13 18:17:00
68
martinez.paschal
Martinez paschal :
Mtupe mda wakuu
2026-09-13 19:50:41
13
mtt.w.single.moth
J”O”H”N” :
Tuliofurahia hayo matokeo tujuane😂😂😂
2026-09-13 18:58:47
18
shamnyonge
Abduli haleemu @Shamnyonge :
Ngoj kwanza unatumia chanel gn kuangalia mpira maan siku hizi kumbe hata wachina wanatangaza mpira 😅😅
2026-09-13 18:26:24
18
davidgona220
Ibrah :
But i'm very sure if we started the season with Carrick we could have won the league last season
2026-09-13 18:12:34
5
j.badenga
Badenga 77 :
Cunha bruno cunha bruno shaw cunha
2026-09-13 18:54:31
1
official_msaffi
Official_msaffi :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] bc kk
2026-09-13 17:41:56
0
keresrjyc7b
Ms kerest😊 :
Cityyy is bluer🩵🩵
2026-09-13 18:13:57
1
abu.athumamn
ABUU :
kazi kuongelea Chelsea back 3 na mnachapwa with 10
2026-09-13 18:34:45
15
ahlulsunnah_muslim
Ahlul sunnah_muslim :
mi nilisema tangu muda ila mashabiki wa man united wengi ni washamba hawajui mpira wafuata upepo. nilisema Amorim ni kocha mzuri hana shida ila uongozi ndo matapeli hawakumpa muda. timu inajengwa kwa subra sio kukurupuka.
2026-09-13 17:44:53
8
mohamedi.salumu8
Mohamedi Salumu :
mkuu leo umekua mkalii😂😂
2026-09-13 18:44:10
2
kasangaboy3
kasanga boy :
tatizo lugha ya mtangazaji
2026-09-13 21:13:38
2
braveone69
BRAVEONE :
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😄😄
2026-09-13 18:16:51
1
user4110600461805
user4110600461805 :
mbona sikuelw ww tim gan kak😂😂😂😂😂
2026-09-13 22:35:26
0
judey1013
Judey🇹🇿🇯🇵 :
sasa mtaachaje kuanza upya wakati upo unasema mumfukuze kocha🤣🤣🤣 Arteta alimaliza nafasi ya 8 mara mbili mfululizo hatukumfukuza na hcho ndo kinawashinda!!! mtaanza upya saaaaana🤣🤣🤣🤣
2026-09-13 18:22:30
2
godfreynassary
mack&225🇹🇿♥️ :
leo man u kapigwa red card mbili🤣 yeye ndo anasakwa tu🤣
2026-09-13 18:13:42
4
lukulalazaro
LUKULA :
haha😆😆😆😆
2026-09-13 17:30:35
3
johnson.john79
Johnson john :
TUNAUMIA N SSI MASHABIKI SIO WACHEZAJI
2026-09-13 18:35:06
1
r0yyrajj
RAJJ🥸 :
Hapo bado arsenal
2026-09-13 22:20:48
0
solankeemanuel360
solankeofficial37 :
tuliwashauri lakn msimpe mkataba mkatuona sisi wajinga😅😅😅😅
2026-09-13 23:27:48
0
yudasway
Yuda Sway :
mbn unaliaaaaa
2026-09-13 22:24:09
0
ladytracy1
Tracy chao :
carrick ball muhimu🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ngojeni league bado changa akae mpaka December 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-13 22:50:20
0
To see more videos from user @official.madeba77, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About