jambo zito lakini ndio sheria ya Allah. Sheikh amesema ukweli.
2026-09-14 00:34:28
6
ABDULRAHMAN SAID :
ukiona unaruhusiwa kusema kwa shart la kula kuapo kama ilivyo kuja katka surat nuur aya 6/10 fuatilien
2026-09-14 04:25:21
3
Abuu Humeyd :
Kwa mke na mume haihitaji kua na mashahidi wa Nne, wenyewe kwa wenyewe inafaa kua ni mashahidi kama ilivyokuja kwenye Qur an. But kama ikiwa si Mume au Mke ndio ameshuhudia basi hapo patahitajika mashahidi wa4 waadilifu na wawe wanaume.
2026-09-14 10:42:41
2
KINGDOM :
eh amashekhe hii ni kali sasa
2026-09-14 06:34:42
0
ALIY ALIY :
shekhe sheria hizo nizazamanii wameenda mpaka gesti lakini akaumwa hakuwahi kufanya jee malipo yake yanakuwajee
2026-09-14 03:15:03
1
JAFARI HUSSEIN 🤲💬🤝🙏 :
mashallah. nikiona mie sihitaji mashahid. allah anihifadhi siwezi kuendelea nae maan ninawivu sana namacha2. nisije nikakonda bure kwa mawazo🥰🥰🥰🥰 auzubirah allah anihifadhi amiin🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-14 04:58:26
1
Khalfan Masoud :
Mm hapo hapo tunamalizana.
2026-09-14 08:01:45
0
عمار سالح 😊 :
Namvuta video ukitoka ukirudi watu washaondoka 😂😂
2026-09-14 04:12:40
1
BAALAWI TOUR ZANZIBAR :
mhhh
2026-09-14 11:08:29
0
️Saladin_Gaming :
na ukichukua video
2026-09-14 10:48:50
0
Abdillahi Yussuf :
je ? wewe shekhe kama wewe unalichukuliaje hili
2026-09-14 11:25:40
0
Nishati Yango :
Sasa unabania had mawaidha ndionn
2026-09-14 12:00:33
0
Nasir Key :
Masha Allah vizuri sheikh sasa nauliza ikiwa mume ame muona mke wake kwa macho yake ana zini kisha akatafute mashahidi, wale mashahidi waje wamthibitishie nani ? ndio ijulikane ame zini , ni ufahamu hapo ikiwa mtu mwengine ame muona mke wa mtu yuwa zini yeye ndio afaa aje na mashahidi 4? tujibu kwa ufasah Shukran.
2026-09-14 05:22:36
1
Mvakule dunia Souleiman :
Allah atuepushe naiyo mitihani
2026-09-13 23:30:25
1
H tz🇹🇿 :
Najua haiwausu ila jana nilikwenda kwenye harusi ya X wangu ,bahati mbaya nikakanyaga waya mziki ukazima badi X wangu akaropokwa ndivo alivo uyo akiona chakula hatulii sehemu moja🤣😄
2026-09-14 11:39:23
0
Rashid haji :
wewe unaweza kufany ivyo
2026-09-14 04:24:25
0
katelephone208 :
katika hili Jambo kuna Aya katika quran suratul al nur Aya ya 6 imeeleza kwa uwazi..sio lazima watu wanne.
2026-09-14 11:39:22
0
T.red :
hapana bhana nikishaona kwa macho imetoshaa,
2026-09-14 00:16:46
4
Ahmed_Alamoody :
shekhe musifanye hili Jambo Zito Sana. siku hizi Kuna simu unaeza kuchukua video Na talaka tatu unatowa hapo hapo bila kikao kukaliwa
2026-09-14 08:27:59
0
خادم القرآن Mtumishi wa Quran :
Kama nikiwarekodi inakuwaje.?
2026-09-14 11:43:26
0
Shabani Khamiss :
Allah akbar
2026-09-14 09:35:28
0
sele the boy :
aifai
2026-09-14 12:19:08
0
🐉 Air Line :
mmh
2026-09-14 05:59:09
0
To see more videos from user @abdul.junior.36, please go to the Tikwm
homepage.