@mtoto_wa_maria: Kila siku ni zawadi kutoka kwa Mungu; wakati mwingine tunalalamika kwa sababu hatuna vingi, lakini tukitazama kwa yale machache tuliyonayo, tutagundua kuwa tuna kila sababu ya kusema Asante. Hivyo leo mshukuru Mungu kwa kila jambo, hata kwa kile kidogo ulichonacho, kuna wengine hawana kabisa, wanatamani hata hicho kidogo ulichonacho. 🙏✨ #furahatemba #grateful #thanksgodforeverything #catholicchoir #viralmusic