dada angu aliolewa mama mkwe akaugua kisukari ikafijia stage anaharisha kitandan dada wa watu akahama. kwakwe akarudi ukweni ili kumlea mama mkwe miaka ikaenda mwanaume anafanyia kazi mbali kumbe huko kazini kashaoa na mtoto juu kilichofuata yule mwanamke alikuja kutambulishwa pale ukweni na yeye akiwepo na mafiwi zake wakaja kumpiga na kumfukuza juu guess what yule mwanamke aljoa hakai ukweni na wala hamlei yule mama instead wamemuwekea mfanyakazi maisha haya nyie
2026-09-13 18:28:18
8
patrisha :
Angekuwa tina bega kwa bega na mamkwe
qween hatari erick unavuna ulichopanda
2026-09-13 18:26:14
7
salometumain :
Elick akome
2026-09-13 18:34:11
3
Khadija Ramaa :
tina nimerecod sauti wacha nikutumie yanayojiri
2026-09-14 04:16:18
2
irenekaaya😍 :
bora tu tina hayupo jmn apo angeteseka sana
2026-09-14 05:10:20
2
Jackline Peter :
quine sio mke
2026-09-13 20:14:16
0
🥰 micky baeb 💕 :
Mwanakulitfta mwanakulipta Eric kz unayo🤣🤣🤣
2026-09-13 21:44:25
1
Valence :
acha uyo mama aone hiyo alisema amukatae tina hajue kazi yoyote sasa leo atajuta 🤔🤔
2026-09-13 18:30:45
3
a :
kwa kweli yote kher hii kazi yakuhudumikia ingekuwa kazi ya tina saiv😁😀😀😀