KWA UPENDO WA KRISTO........[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-17 15:58:32
1
elishagarcar :
Catholic vibes ur allowed to listen
2026-09-17 15:58:05
0
stesh254 :
thanks back to God am a catholic guy likes zikam kwa wingi Catholics tujuane
2026-09-17 12:41:13
2
Tsisika :
pilgrim of hope... together in prayer# catholic faith until death
2026-09-17 15:58:08
0
leahwahiga :
There is only One God ! Creator of all of us , the rest are religions which sometimes separate us humans instead of bringing us together
2026-09-17 12:10:54
1
magreth Ernest :
kipenz chang dini zote ni za mwenyez mung na kitakachotuweka kalibu na mung cyo dini ni Imani ya kumtumikia mungu wa kweli tukiwa na matendo yenye kumpendeza mungu
2026-09-14 07:26:26
825
jucy🌟 :
Tumsifu Yesu Kristo🙏
2026-09-14 07:08:10
615
Gasper del buffalo :
Roman Catholic, wanaimba vizuri bana
2026-09-14 06:12:41
424
Erick msafi :
WAKRISTO WENZANG TUMSIFU YESU KRISTO 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-14 17:49:10
354
designer_84 :
Waroman wenzangu like ziwe nyingi apa🔥🔥
2026-09-14 09:42:59
228
chonile :
Yesu anakupenda dada mkabizi maisha yako Mapendo taifa la Mungu
2026-09-14 07:30:32
128
shakiraissa034 :
mm muislam na nasikiliza vizur tu Manali hawamtukani mungu
2026-09-14 09:31:51
82
KETA🎼🎧 :
I dreamt singing a Catholic song with a Muslim vile nimeamka nakupata the third video🥹🙏🙏🙏
2026-09-16 01:35:06
0
bint abbasi🥰🥰 :
Mimi ndo zangu kuna hii na.wakuabudiwa.na umenipima ukanijaribu.na Kuna Ile uniongoze bado nakuhitaji wee watu wanashindwa kinielewa humu ndani naswali na stara juu ila izi nyimbo zinnipa ammani
2026-09-14 08:36:16
92
KellyThekenyanman :
sikizia kwa earphones 🎧
2026-09-15 18:46:21
23
rukia zuu2 :
tumsifu yesu Kristo wa katholik🥰🥰
2026-09-15 05:05:54
21
Bismarck Serm :
they call it Catholic,we call it Home
2026-09-15 16:20:26
9
katarina :
ikiwezekana imbaaaaa usiogope kumsifu Mungu mbinguni kila mtu ataenda peke yake imbaaaaa atakutendea mambo makuu imbaaaaa🥰🥰🥰
2026-09-14 12:51:48
31
Seza J :
Huyu tayari jamn mtumieni nyimbo nyingine...
2026-09-14 13:26:17
6
flora66025 :
skiliza tu mungu ni mmoja....dini ximeletwa tu lakini mungu alikuepo na atakuepo milele na milele...
2026-09-13 20:48:14
52
Ester James :
dini zote tunamsali mungu huyo huyo
2026-09-14 12:25:43
7
Eras $ majara :
pole sis huku kwetu tunawaita ndugu zetu waislamu ila nyie mnatuita makafiri cjui kwann
2026-09-14 19:37:32
30
Nongi Chagga 0G :
Nashindwa kujielezea ila natoa chozi la furaha napenda sana Mungu akubariki sana ulie ona hii coment.
2026-09-14 09:06:34
37
Sarashy baby🥰🥰 :
mi naona bora kusikiliza nyimbo zinazomtukuza Mungi haijalishi ni za dini gan kuliko singeli😂😂
2026-09-14 18:39:59
15
babra 💕💋 :
mapendooo 🥰
2026-09-14 06:41:20
14
To see more videos from user @arafajuma, please go to the Tikwm
homepage.