mashallah watu wajituma Allah awabariki Kila mwenye kutafuta rizki za halali
2026-09-13 19:56:04
112
imuh1998 :
mashallah ww ni jasiri sanaa
2026-09-13 20:08:05
31
Dogo mama :
Mi ningekimbia hadi nyumbani
2026-09-13 21:46:40
15
رحمه عليه :
She’s strong enough Ma sha Allah
2026-09-14 00:01:29
1
shauri :
very short and clear explanation plus practical mashallah
2026-09-13 21:18:46
10
ummuyusra :
Mashallah Rabby Akufunguliye Mianga Ya Kheri Kwenye Utaftaji Wa Rizki🤲Maana Halisi Ya "Kama Mvuvi Wa Pweza Tukitame Mwambani"🥰
2026-09-13 20:35:10
11
Biba wa Boys :
if courageous was a person 🥰
2026-09-14 01:05:27
1
mum minee :
hongera mama una ujasiri masha Allah
2026-09-13 19:57:36
18
محمد إبن رمصان محمد✨ :
Pole pole mama..😔😔👍
2026-09-13 20:20:10
0
abdul nassir :
mama mweza am proud of u
2026-09-13 20:59:56
1
REEM 001💖 :
walai mi nilijua pweza wavuliwa ka samaki nimejifunza kitu leo 🥰🥰
2026-09-13 21:48:48
10
Biggie👑 :
what's pweza?
2026-09-13 23:15:45
0
fatma :
mashallah mashallah mwenyezi mungu akuhifadh weee mamangu wewe ni jasiri sanaaa🥰
2026-09-13 20:49:33
12
Ibrahim Kanunda :
Mashllha Amina jupa mungu akuifath ishallha na vile uko roho Safi Dada Amina nskubli sna na sichoka kutombea dua ww na famaly yko mola akupe Salama na audishee asdt mashllha Kuna siku nikuja shnga nikuwa nasikia jaa unpea chakula mashllha mola akbrk sna Dada amina
2026-09-13 20:25:15
7
naimayusuph1 :
weee ivyo alivyonidandia ningekuwa nishatoka mbio
2026-09-13 21:21:23
5
said bute :
Masha Allah
2026-09-13 19:54:00
5
🤎Bupi🤎 :
Mama jasiri mashaallah
2026-09-13 22:31:56
1
thumaa :
naiyo saa siyaingia maji mama
2026-09-13 21:17:07
0
Sierra Security :
Hiyo Saa umevaa ya kumweku mweku ?ni aina gani?
Ni water proof
2026-09-13 21:29:00
1
remmy cute🥰 :
mm ata sijawai mla namuogopa kuanzia akiwa mzima hadi nyama akipikwa😁😂
2026-09-13 22:36:43
1
YANA KWA EO MUSIJISAHAU :
mashallah
2026-09-13 19:49:31
3
Mam macho😘 :
Tulorudia tujuane
2026-09-13 21:09:17
2
To see more videos from user @atographer0710872395, please go to the Tikwm
homepage.