@yam3neditzz: Tükenen Çareler... #cagatayulusoy #esrefruyaedit #esrefruya #stayleeditzz #viral

𝐄𝐬̧𝐫𝐞𝐟 𝐓𝟑𝐤
𝐄𝐬̧𝐫𝐞𝐟 𝐓𝟑𝐤
Open In TikTok:
Region: TR
Sunday 13 September 2026 18:40:03 GMT
19
6
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @yam3neditzz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

#update *🔍 HOME OF REVIEW | CANTONA UPDATE* *🔥 IBRAAH AITWA LAMINE YAMAL WA BONGO? GOAT WA ALBUM BAADA YA KUIBUKIA NA NYIMBO 50!* *REVIEW YANGU YA LEO:* Leo nimekaa nimepitia mradi wa Ibraah. Chinga ameamua kuweka rekodi ambayo sidhani kama kuna msanii yeyote Bongo amewahi kuijaribu. Albamu moja, nyimbo 50! *NILICHOONA:* Nimeona Ibraah ameiachia albamu yake mpya *1B: The Other Side of the Face*, iliyobeba jumla ya nyimbo 50. Nimeona pia ameweka ladha mbalimbali za muziki ndani yake na ushirikiano na wasanii kama Phina, Yammi, Young Lunya, Billnass, Mr Blue na D Voice. Hii imewafanya mashabiki wamuite jina la utani la Lamine Yamal wa Bongo, wakimfananisha na kijana anayefanya mambo makubwa kwenye soka akiwa bado mdogo. *UCHAMBUZI WANGU:* Mimi naona Ibraah amefanya kitu cha ujasiri sana. Wasanii wengi wanashindwa kuachia hata EP ya nyimbo 6, yeye kaachia nyimbo 50 kwa mpigo mmoja. Hii sio album tena, hii ni ligi nzima. Kila siku unaweza kusikiliza wimbo mpya kwa mwezi mzima na nusu bila kurudia. Lakini mimi nauliza, ni wingi au ni ubora? Kwa sababu kuachia nyimbo 50 ni jambo moja, lakini kuzifanya zote ziwe hit ni jambo lingine kabisa. *RATING YANGU:* ⭐⭐⭐⭐⭐ (5/5) - Kwa Ujasiri wa Kuachia Nyimbo 50 ⭐⭐⭐⭐ (4/5) - Kwa Kujenga Mradi Mkubwa *SWALI LANGU KWAKO:* Unadhani Ibraah anastahili kuitwa GOAT wa album Bongo Fleva kutokana na huu ujasiri wa nyimbo 50, au bado ni wingi tu bila ubora? Na umeshasikiliza ngapi kati ya hizo 50? *Niambie kwenye comment 👇* `#HomeOfReview #CantonaUpdate #Ibraah #ibraah_tz`@IBRAAH

About