@islamicswahilinet: MTENDA WEMA HAPOROMOKI Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 18:42:38 GMT
Music
Download
Comments
Abwala Sunday :
allah akb
2026-09-14 18:18:02
0
J TOM WASAH :
[Pray][Pray][Pray][Pray][Red heart][Red heart][Red heart]LOVE YOU ALLAH
2026-09-14 14:40:10
0
mahamudu :
nakupenda sn sheikh mimi nakupenda sn kwajili ya allah
2026-09-13 21:31:50
6
mamasita :
mungu akupe maisha marefu uzidi kutufundisha
2026-09-14 03:37:15
9
JESHI JR :
mashaallah
2026-09-13 22:56:44
2
DIGALA BOY :
mashallah
2026-09-13 21:17:10
1
Suzzy :
kama unamoyo wakusaidia mungu akuzidishie🥰🥰
2026-09-14 13:30:06
1
Dado :
Allahu akbar 😢😌
2026-09-13 21:55:43
3
Fadhila Falaja :
mungu akupe umlefu ishahallah
2026-09-14 17:13:02
0
Cambodian_Items :
Wema unalipa siku zote 🙏
2026-09-14 08:35:50
1
Shaban Shee :
Allah Akbar
2026-09-14 16:40:02
0
majid boy :
subhanallah
2026-09-14 16:16:42
0
Jumaa Futa :
ALLAH Akbar
2026-09-14 16:09:14
0
maimunasiela :
amina
2026-09-14 14:48:24
0
ruwelamohamed :
Allah akbar
2026-09-14 14:15:53
0
Don_ killer :
Allah atupe maisha marefu na mwisho mwema
2026-09-14 14:20:57
0
Cushitic,boy :
Siku izi ukitenda wema nenda zako tu..maana watu wanasahau kwa dakikaa kadhaa
2026-09-14 15:01:24
0
Shibu :
Amina
2026-09-14 07:35:21
0
Official Me💕 :
𝑴𝒂𝒔𝒉𝒂𝒍𝒍𝒂𝒉,𝒔𝒉𝒆𝒌𝒉𝒆 𝒘𝒆𝒕𝒖
2026-09-14 11:49:17
0
SITY❤️ :
SubhanaAllah
2026-09-14 12:50:43
0
It's Jallo kizz :
nimependa sana mawaizayako shehe yanayofundisha Mungu akubaliki uwenamaisha malefu
2026-09-14 12:48:45
0
k luu tz :
upo vizuri shekhe mm Laurent kristo
2026-09-14 18:18:47
0
jullie_ 💙 :
2026-09-14 13:57:59
0
mkali kalise :
shekh Allah akupe umry mrefu uzidi kutupa elimu bure 🤲🤲
2026-09-14 04:54:49
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.