@bebo.rhymes:

Bebo Rhymes
Bebo Rhymes
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 18:52:59 GMT
82356
1789
41
112

Music

Download

Comments

ruchmhando
RICH_ PABLO :
boda boda wa darajani kigamboni ndo wanajifanya wanakamata boda boda wenzao 😳
2026-09-14 09:23:18
8
nassorom
mudrick :
wakumbushe na lesen pia
2026-09-15 08:45:16
0
jfhhdhdhjsjssjjdy
shebby love :
kwani sheria zavituo hazijulikani waiyo mtuyoyite akija apakietu bila yakufwata utaratibu waofisi kwaiyo usipo fwata utaratibu sheria itafwatwa
2026-09-14 09:35:40
0
charzydejombizo
Charzy de Jombizo :
bro hata nyumban kwak kunasheria ila sheria zako na sheria za katiba ya nyichi mbona auzifat za nyichi mtu akizingua kwako unamalizana nae kwa kupitia sheria ya nyumbn kwako 🫡
2026-09-14 09:38:19
0
ibrahkahn.tz
@ibrah♡kahn Tz* :
waambieni tusije laumiana me nishachoka kichomolewa funguo
2026-09-14 14:14:48
1
muddy.said8
Muddy Said :
mmh saw
2026-09-13 19:13:38
0
tarumbeta7
gunner man :
nataka kujua alietoa hii
2026-09-21 19:04:57
0
elly.mbwambo43
Elly Mbwambo :
Tanzania 🇹🇿 sheria na katiba 🥺hawafati tena matajiri ndio hawaguswi inasikitisha sana…
2026-09-14 05:53:17
1
jsimba81
Jsimba :
Tueleze kuhusu bonafide crame of right.
2026-09-15 12:10:53
0
a.k.a.dundo.tz
thedon boys :
tumekuerewa kamanda
2026-09-13 21:09:04
0
user61843187581613
Mr zepha :
vp nikija ofisini kwako nikavaa nguo zako je utanambia niko sawa au??
2026-09-14 19:11:07
1
chuga.007
🏍 R Chuga Official 🏍 :
Hii ni Uzushi Jana nimeenda ferry nafik pale mwanzoni karibia na soko la samak nakamatwa na boda wa pale na kunifunga cheni Kam Lisaa hiv Kisha wakaniambia nitoe fain ya cheni hii xijui imekaaje kwa sisi Bolt🏍😭
2026-09-18 05:25:13
0
james74th0
James13 :
sijui kama wataelewa maana washa zoea sasa
2026-09-14 07:19:42
0
ibrah.kharpher
IBRAAH PLUMBING Services :
👍
2026-09-14 10:15:15
0
user1927245485132
patta jr :
tatizo utendaji
2026-09-14 20:22:34
0
daniel.gabriel11
Daniel Gabriel :
kwetu ukivuja Shelia ya ofic unakula cheni tena
2026-09-14 06:48:55
0
ottomanbrickboy
official designer 😎 :
Bodaboda screenshot hy post itakusaidia mbeleni😎
2026-09-16 16:49:20
0
kishandukarikoo
MC504 FRB :
Utajiskiaj ukirud alaf umkute jiran yak anapik mlangon kwak kabisa???
2026-09-14 15:38:12
1
baba.dainess4
Baba Dainess :
uko sawa kaka
2026-09-14 20:13:13
0
jumanneibrahim45m
jumanneibrahim45m :
sasa ivyo vikundi vya nini mahana uwo utaratibu ni silikali ndo wameupanga basi aina aja ya migundi kira mtu wapige kazi kokote
2026-09-14 19:22:42
0
issackmalugu
issack malugu :
sheria ingemalizia kwa kusem mtu au watu wakikamat boda kinyume cha sheria tuwachape ingependeza sana
2026-09-14 17:51:15
0
wiz.kiddy82
wiz kiddy :
uloandika ujumbe huu umenyooka sasa mbna wananyanyasika inamana serikali haioni au haijuwi inajuwa nawao ndo wanaleta hvyo vikundi kama jiji mala ardhi ya tanzania unahaki kutembea yote ukiwa huru lakini unapangia pakushusha abiria unapangiwa pakupakiaria abiria wy ikiwa unalipa kodi huduma zote unalipia unakamatwa na abiria wa elfu3 unaambiwa fine60 hyo nihaki yakufanya biashara kwenye inchi yako yangu nihayo tu
2026-09-14 18:26:54
0
deogratius62
Deogratius Costantine :
je,vipi kuhusu ratra nao wanavhotupigia cheni pikipiki zetu
2026-09-15 02:01:50
0
kamanda..ajuju0
kamanda ajuju :
Machawa wasio kuwa na kazi wanaelewa ilo
2026-09-17 13:17:23
0
mohamed.rama29
Mohamed Rama :
utapelitu kila siku tunaona watu wavujiwanyumba zao
2026-09-14 12:17:45
0
To see more videos from user @bebo.rhymes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About