@prophetdaniel123: Mataifa yanakutana, mioyo inaandaliwa! Kusanyiko Kuu la Mwaka 2026. Ungana na watumishi wa Mungu kutoka mataifa mbalimbali, pamoja na Baba yetu wa Kiroho, Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, kwa siku saba za Neno, maombi na ibada. Tarehe 5–11 Oktoba 2026 Precious Centre, Kibaha MAPENZI YA MUNGU, UKOMBOZI WANGU. Jiandae, mwalike mwenzako, tukutane Precious. Usipange kukosa! #KusanyikoKuu2026 #MapenziYaMunguUkomboziWangu #TukutanePrecious #EfathaChurch
OFFICIAL DANIEL NASON(DAN TV)
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 19:17:59 GMT
Music
Download
Comments
cecilia :
Aminaaa
2026-09-14 21:00:59
2
Joyce Kimath :
tunakuja
2026-09-22 05:52:54
1
necious :
Asante Baba Mungu na Akutunze
2026-09-17 12:31:05
1
Motela hardware :
Asante sana dady🙏🙏🙏
2026-09-13 22:02:54
1
necious :
Amen
2026-09-17 12:30:05
1
To see more videos from user @prophetdaniel123, please go to the Tikwm
homepage.