point 5 ndo zinaondoka hivoo [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-14 08:32:58
0
@zaffar :
Traffic wana vibegi, dahh ndo vya kuwekea point 5,zetu,😂😂
2026-09-13 21:33:05
42
nelson@² :
hii challenge imeondoka hii😁😁😁
2026-09-13 22:54:47
14
Morgan Freeman 🫡🇹🇿 :
😂😂😂😂 moto wanao matrafki nai charge
2026-09-14 08:59:14
1
samweli butimbi :
2 point
2026-09-14 03:39:09
0
doncorleone..1 :
Waaaaah..!! 😂😂😂😂
2026-09-14 06:11:14
1
Emmanuel gasper :
ntakuwa sisimam nikiona point zinakarbia kuisha nta wapita nika park porini mpaka usiku ndo nitoke apo kusafr bora usafir usiku ase point 15 ni dar to morogoro zimeisha😅🤣
2026-09-14 07:22:02
9
weybar96 :
hii si barabara ya tabora😀😀😀
2026-09-13 22:33:32
4
Msafiri Omary :
point zimebaki salama kweli apo
2026-09-14 15:27:55
0
nice cute♥️ :
sawa mikeka itembee sabu mnazijua sana record
2026-09-14 15:34:50
2
kamals s kdr :
vita imekua kubwa kuliko ccm na chadema 😂😂😂
2026-09-13 21:58:14
1
3nojr💪babako🫵 :
😆😆😆 kimeumanaaa
2026-09-14 09:52:36
1
Steven 😘🤩😍😇😇 MP :
😂😂ila we jamaa 😅
2026-09-14 17:41:07
0
Omali Halifa :
kwa eshima
2026-09-14 17:29:57
0
manyawa Official @.. :
hii nchi ndo ilipofikia huku
2026-09-14 09:42:40
1
ndorojr :
tabora hio wana point yao kwenye io shule mbele kama unaenda kigoma
2026-09-14 10:03:56
1
Kipalahi OG :
muwahi kabla hajakata point 😂
2026-09-14 05:09:17
1
TUDO@_ :
Ai 🤣🤣🤣
2026-09-14 15:53:20
1
azarby🦁 :
km 50 kutoka mpanda kuja tabora
2026-09-14 02:28:38
1
Moh'd Pac ✨ :
nimecheka wallah😄😃
2026-09-14 13:01:46
0
U.S.A BOLISA :
ime kua nisifa ss
2026-09-14 14:49:05
0
𝔐𝔞𝔰𝔥𝔞𝔩𝔩𝔞𝔥 🍁🍁 :
😂😂😂😂
2026-09-14 15:05:33
0
meda :
point tatu hapo
2026-09-14 14:44:58
0
ngomero :
kwisha
2026-09-14 13:22:47
0
Emmanuel gasper :
Asaiv Traffic ni kama wafanya biashara wa Kariakoo wana mpaka vibeg vya kuwekea fedha
2026-09-14 14:46:20
1
To see more videos from user @dadjunior225, please go to the Tikwm
homepage.