mademu wangu wote, nawaitaga jina moja , naweza nkapost status nakupenda asha wangu wakafrah wote🤣🤣🤣🤣
2026-09-14 08:57:20
117
Goldhunter :
Sasa kama wewe mwenyewe haujijui mm nitakujuaje
2026-09-14 18:55:42
28
Jäÿ… malluda😈👑 :
Wewe ni mpenzi wngu na. Upo pekeyako badae njoo nyumbn ALAVYUUU SO MACHI 😘😘
2026-09-15 06:26:12
23
faustina cute 🌹🌹 :
alicho kosea kusema nataka kujuwa kama nipo pekeangu kwishaa😁😁😁😁
2026-09-14 12:30:29
16
Nay Wa Mitego :
ilo swali akunaga mwanamke ana jibu kwanza iyo sms anaweza asijibu na ukimpigia simu ana kata
2026-09-16 13:20:25
2
@kembalh t, :
kwa mimi ningejifanya sijaiona meseji 😅😅😅
2026-09-14 17:00:58
9
Da fundi NANAH😘❤️ :
Sas kam ww hujijui mm nitakujuaje😂
2026-09-15 07:37:13
10
Savera Nkosya :
wewe niyule mapenzi wangu wa sikuzote Mimi Sina mwingine zaidi yako
2026-09-14 05:26:22
5
Hawina_mobiles🛍️🔥 :
Sina mpenzi 😂😂
2026-09-14 12:46:05
1
husseinjsilas :
samahan jina nan
2026-09-14 20:35:14
0
Ntambi ngeme🔥 :
Huo mtindo nilikuwa nao mm kla demu nikimtongoza namwambia jna tofauti so akinichek kwa namb ngeni m namuulza tu kama w mpenzi wangu mm nan so akisema tu jna langu najua hyu n fulani ko n mwendo wa hum tu
2026-09-14 19:00:39
7
Lina Lamecky :
Wewe ni mme wangu wa badae, alafu sm inazima et
2026-09-15 11:27:26
7
Vanesa Mwambe :
wewe ni mpenzi wangu
2026-09-14 19:37:38
0
sia :
😁😅😅Heeee
2026-09-14 19:19:33
0
Rahu raty 🦋 :
Talaka tunayo 😂
2026-09-14 12:45:20
0
Ibrahimahmady🇺🇲🇺🇲🇹🇿🇹🇿 :
wewe ni wewe au
2026-09-14 20:05:56
0
THE_MAN_OF_GOD :
wewe ni Mama angu 😅
2026-09-14 14:07:29
0
zυlley🙅♀️💔 :
🤣😂🤣raha yake wote majina yanafanana
2026-09-14 12:30:30
0
Mandu Masunga :
sitamjibu 😂😂
2026-09-14 19:07:28
0
Christian Rwekaza :
unachokitafuta utakipata tu 😏
2026-09-15 14:09:08
2
💗PINK WITE💞💞 :
mpenz wang
2026-09-14 20:57:01
1
Queen madimpo🥰 :
ninge kuwa mm ni getaji jina la ex wangu
2026-09-14 20:18:24
0
ãlõñêý bűt hãppý :
wewe nimpenz wang mm nakizur zaid usha jijuwa kama ni wewe mlenz wang asant kwailo
2026-09-15 11:11:14
1
JAY_WANAMAN7💙👑 :
Sms najibu ila haziji
2026-09-16 09:53:37
1
ASHRAFWA5 :
uzur kaniita baby ndoo yulex2
2026-09-16 05:46:40
1
To see more videos from user @agnesi667, please go to the Tikwm
homepage.