@kukimalano: #fypシ #HAKIKA #africa #tabianjema #tanzaniantiktok🇹🇿

SHIKOME 🌴
SHIKOME 🌴
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 20:12:55 GMT
2368
228
12
2

Music

Download

Comments

danny_brown_tz
danny_brown_tz :
yesu ni mwana harakati kama wana harakati wengine tuu
2026-09-16 12:37:19
6
ugalimboga1
UGALIMBOGA :
kweli kabisa
2026-09-14 02:50:27
4
richardkp981
Richard Kp :
unafanyia kaz wap nikuletee computer yang uitengenez
2026-09-16 19:24:38
1
ellasaxministry
ellysax :
kwaiyo shida niya nani hapo
2026-09-14 14:00:05
1
selemani.mkwabi
Selemani Mkwabi :
Bado bayaanda badoo
2026-09-13 20:19:10
1
sleyummtarazaki
Sleyum Mtarazaki :
yesu alifanywa mungu na watu mfalme wa kirumi Constantine walipiga kura bungeni na maaskoofu kuamua yesu ni mungu Baad ya machafuko ya kisasa miaka 325 Baad ya yesu kufa
2026-10-02 04:38:24
0
user4208833844502
luck B :
maana yake yesu ni mtu / binadamu ambae alikuwa na akili kubwa sana na huruma pia ila alitumia uongo wake kuwa kwamba yeye ni mtoto wa mungu ili angalau watu wawe na amani Kwa kuwatengenezea wanadamu kwamba kunakiumbe kinaitwa mungu kipo kila sehem ko ukiwaufanya maovu kinakutazama half kunasiku utachomwa moto ko dini ni propa Ganda ndo ila hizo hizo propaganda zimechochea sana Dunia kuwa na amani na kupunguza watu kuuwana wakihofia kwamba kunakiumbe kiitwacho mungu kipo sehemu kinawatazama watu wote ili kutupa uoga zaidi wakadai kwamba hicho kiumbe ndo kilichoiumba hii aridh na vyote vilivyopo
2026-09-22 08:55:57
0
dabonge_76
da bonge ♥️💖 :
kaa katika dhumuni lako brow ndo tulivyo
2026-09-15 14:37:54
1
ibracountry_hip_ho
Ibracountry_Hip_Hop :
Alafu Anaitwa Zakayo Sio Lazaro
2026-09-29 22:29:41
0
kingcharles2894
kingcharles2894 :
Kuna siku Niliuliza Kama Watumishi wengi ni Wasomi Mbona hawajioni kama wanakandamizwa hivi kweli unaacha Mizimu inayokujibu kama Ai na unafakamia na ku-support Mungu asiyejibu mkushi amka
2026-09-25 07:51:30
0
arnoldtiger_store
Arnold Mwambungu :
✝️🏁🏁
2026-09-14 08:31:20
1
To see more videos from user @kukimalano, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About