nilipotimizi miaka30 nikaisi kitu kinaongea ndani yangu usivae tena vitu vya ovyo kuanzia apo nikipata hela nanunua nguo ya maana kiatu na pochi nashkuru nimefanikiwa ukiniangalia km vile na miliki mamilioni kumbe..🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-14 06:04:46
17
alolabashagi :
Asante nimejifunza
2026-09-14 06:55:33
1
salomea_luxe7256 :
Hata nguo za kwenda msibanii sina jmn🥹naomb nichukuee hatua😌
2026-09-14 07:17:50
1
Ndali.Og :
Ni mimi ata kabla sijamaliza video sina chochote cha maana
2026-09-14 06:25:31
2
mummy Zuu :
well said
2026-09-14 04:53:20
1
crocheterdeja :
Uwiiiih jmn
2026-09-14 08:27:59
2
Christelle Martha :
😁😁😁😁Kama najiona 😁😁😁
2026-09-14 07:24:28
1
BabyFace🥰🥰 :
Uyo ni mimi jamn woooooooy
sinaga nguo nikialikwa nakosa nguo ya kuvaa jamn mweeeeeee 😂😂😂
2026-09-14 08:11:12
1
lista Jackson🍎🩵 :
Ndio sina ila kunawengine awana kbs
2026-09-14 06:38:35
1
Edina Joel :
asant kaka
2026-09-14 06:33:02
1
Lightness Makuza :
Hii ni kweli kabisa 😁
2026-09-14 05:32:28
2
Miss Mlay :
Umenifunza kitu
2026-09-14 03:40:23
2
Nice_ collection## :
kujipenda bana ndo kitu napenda syo mpk kuwe na shughul ndo nivae vizur hapan kila siku natakiwa niwe nadhifu na smart asantee 🙏🏼🙏🏼
2026-09-14 08:10:23
1
💲💎$TËV£💎💲 :
naenda kazini apa nimejiangalia juu mpk chini mmhh😁 nachukua hatua
2026-09-14 05:02:00
4
user74544061763441 :
kwaiyo umeamua kunisema sawa nashukuru
2026-09-14 04:04:57
2
To see more videos from user @bongoads, please go to the Tikwm
homepage.