@user6123263685031:

Bn khaidary
Bn khaidary
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 21:23:28 GMT
80611
903
209
214

Music

Download

Comments

:
i wish you didnt record it
2026-09-14 17:27:28
0
:
he need socks
2026-09-14 16:12:00
0
:
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] ah mmetuweza
2026-09-14 10:10:32
0
:
ujue zikija uku tunakula wenzio🥺🥺🥺
2026-09-14 12:24:05
25
:
Duuuh [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-14 11:35:28
0
:
Alaf ss tunapika dagaaa kavu n mm ss noooo😂😂😂😂😂
2026-09-14 13:58:25
0
:
Dagaa mwisho Leo
2026-09-14 13:54:34
0
:
nazipenda sana lakin au bas tu
2026-09-14 09:47:13
6
:
kuanzia lio sili tena dagaaa
2026-09-14 08:26:23
9
:
baas sili tena😂
2026-09-14 12:17:59
2
:
ndo tunalokula hili tukasema tam
2026-09-14 12:20:52
3
:
Mtumeeeeeee n mie ninae kula bila kuosha kumbe mambo nd haya😳
2026-09-14 15:11:53
3
:
auwezi kuzipakia bila kuzikanyaga? haujali afya kwa wateja wanao nunua....kumbe ndio hivo hata hamu ya dagaa inaisha.
2026-09-14 12:55:03
2
:
siwezi kula omena tena[Starstruck]
2026-09-14 13:14:29
0
:
subhanallah chakula icho ndio mwakinyaga
2026-09-14 15:26:24
3
:
chakula hakikanyagwi bro
2026-09-14 19:23:55
1
:
mi uwa sioshi kumbe watu ni ivi😁😁
2026-09-14 08:33:02
5
:
kumbe ndy mnafanyaga ivy00 uwiiiiiii😂😂😂😂
2026-09-14 13:59:33
1
:
nikila tumbo huwa linauma nina machale sili tena
2026-09-14 12:45:57
1
:
waaaah na wenye hatuoshagi omena tukipika zile dry
2026-09-14 15:49:05
1
:
kuanzia Leo ikila nikoshe kumbee dah
2026-09-14 12:39:34
2
:
bei ya gunia
2026-09-14 08:05:27
2
:
shingapi iyo
2026-09-14 07:47:15
2
:
waonjaji nawaona 🤣🙌🏾
2026-09-14 12:58:05
1
:
MBNA mnayaganyaga basi
2026-09-14 09:52:21
1
To see more videos from user @user6123263685031, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About