dorgu ndo aliua offside aliugusa uo mpira kabla haujafika kwa Enzo na kuuingilia angalia kwa makini
2026-09-14 03:40:51
1
Mahewa jr :
changamoto mpira mdogo vichwani kwenu, kuna beki wenu kule juu cjui ndo dorgu aliugusa mpira, na yeye ndo aliivunja iyo offside maake alikuwa sawa na haaland, alafu kuhusu Enzo kwenye situation kama iyo haesabiki kama ameingilia mchezo maake ata asingeingilia Martinez asingeufikia uo mpira miguu yake mifupi 😅😅😅
2026-09-14 03:37:23
2
CPA Tom Minja :
2026-09-14 00:16:39
3
🤑dull🤑 :
huo mpira umeguswa na mchezaji wa man u ,kuwa makini
2026-09-14 03:19:23
0
🦅 :
afcon matokeo yalisomq baada ya miezi kadhaaa, sembuse man u ndani ya masaa kadhaa tu
2026-09-14 03:12:26
0
Offíçíal GODFREY42 :
mnakumbuka hii 2023[Crying]
2026-09-14 07:57:17
1
Jr da santos :
Kumbuka bruno goli alifunga rashidi after review no offside
2026-09-13 22:30:47
3
Smith Nafaka :
VIP kuhusu hii ya kwao😂😂😂
2026-09-14 07:13:09
1
bnelectronics :
iko hv mkuu ule mpira forgu asinge ugusa ingekuwa offside sasa dorgu kagusa mpira akabadilisha kwenda muelekeo wa enzo na kwenda kwa haaland refer yy anajuwa kama dorgu asingesa basi huenda enzo angefunga sio kosa kubadili muelekeo wa mpira ndo tatizo lililo sababisha yote hayo
2026-09-14 06:10:36
1
Gisha :
Iyo Krosi Ilianza Kumgusa Mchezaji wa Manchester United Dorgu , Due to the Fact that Kijana Iyo Sio Offside
2026-09-13 23:00:12
3
Kimani Papaa :
Fact broo ameingilia mchezo na akaleta positive impact kwenye timu yake💯
2026-09-13 23:49:19
1
KIM*POLITE☆☆ :
iyo atuuu
2026-09-13 22:39:20
1
chingchar🎧 :
Kuna la Bruno usisahau
2026-09-13 22:35:58
1
To see more videos from user @crian_idriss, please go to the Tikwm
homepage.