@amirah5g:

amirah5g
amirah5g
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 23:18:53 GMT
123755
2275
303
222

Music

Download

Comments

lulu.cheche.chech
Lulu Cheche Cheche :
Wimbo kichambo tosha[Tears of joy]
2026-09-14 10:40:01
1
caroline.eugen
Caroline Eugen :
Kwani mbona wanamtunza sana kama wanambembeleza yani
2026-09-14 08:00:48
103
londeglowspot1010
LondeGlowSpot1010 :
Sijui nimezaliwaje ila jmn mm sinaga shoboooo 😂😂😂😂 Yani ile hata kujifanyisha siweziiiiii
2026-09-14 08:47:19
50
mrs_ginimbi97
Official-mrs-ginimbi♥️🔋 :
Yaan mama ana ata ushirikiano jmn huku kujipendekeza kwa wakwe na ndugu mm kulinishindaga kbs🙌🙌💔
2026-09-14 10:45:32
28
hafsaaliy
Hafsa beauty❤️❤️❤️ :
😅😅😅😅Binadamu wanafki kweli
2026-09-14 04:36:06
38
rayanaramz
Rayan♊️🧿 :
Kwani mama dangote anamtafuta Nani jaman
2026-09-14 01:48:06
35
tinnah.said
Tinnah Said :
Mama wa watu ana ata shida
2026-09-14 07:02:28
77
yasinta.zeno
💌De $intah💫 :
kwa huo wimbo hata mm nisingecheka 😅😅
2026-09-14 10:51:05
10
user5037768755633
Angelina :
Hapo mwenzake anamuwaza Aliyah.
2026-09-14 07:24:41
9
fatma.r71
Fatma R :
watz tuwaache hii familia na mambo yao
2026-09-14 07:23:31
5
amirakelvin656
Amyra :
ata kama ila wamemchamba umo umo japo nyimbo ya mama ila inamuingia
2026-09-14 07:03:02
9
fatumaabdallah982
fetty mdachi ♥️🌹 :
ila waja tunapenda kutengeneza taharuki 😂😂😂
2026-09-14 07:57:52
5
janet.munisi
Janet Munisi :
wanagawana hela alizotunzwa Hospitali
2026-09-14 12:28:16
0
user6260806590198
Natal :
Nyimbo sasa😂😂
2026-09-14 00:28:46
7
www.tiktobaby.com
baby :
Huu wimbo sio mzuri kwa kumtunzia mama mkwe amefeli ndio kaongeza mapambano
2026-09-14 09:42:42
5
user6006051957277
suheymac :
hii nyimbo na matunzo ni ujumbe mzito
2026-09-14 11:24:53
0
esharama5
esharama5 :
waja mna mambo
2026-09-14 10:48:53
2
ainekishakaizilege
Liwalo na Liwe :
NAKUMBUKA DADA YANGU ALINAMBIA UPENDO HAUNUNULIWI KWA PESAA MUACHE MTU AKUPENDE MWENYEWE FULL STOP
2026-09-14 10:29:22
1
nihan.runaiochu093
Nihan🦋 :
Hahahaah kuigiza siwezi mama anajithd tu
2026-09-14 10:20:52
1
bigbrotherliveafrica
it's temkwz✔︎ :
nyimbo yenyewe inamteta mama mkwe
2026-09-14 11:03:43
2
whitecaramelbeutyplus
white caramel :
wasemaj wa familia ni wengi
2026-09-14 10:29:27
1
user4637183831734
mom aq :
love u mama dangotee
2026-09-14 07:58:07
2
beautyzone142
BEAUTY ZONE🌹 :
😂😂😂WaTz hawapend amani khaa
2026-09-14 06:47:26
4
mis_tipha
ms tipha :
Jamani embu mpuzisheni mama watu loh mtu asifanye kitu kibaya
2026-09-14 07:15:34
3
To see more videos from user @amirah5g, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About