@graced.girl: Je, unajua kwamba labda hatupaswi tena kubatiza kwa maji? 🤔 Marko 1:8 inasema, “Mimi nimewabatiza kwa maji, bali yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu.” Na kuna sehemu nyingine ambapo Paulo anasema Kristo hakumtuma kubatiza, bali kuhubiri Injili. Sasa swali ni hili: Je, Yesu alikuja kuanzisha ubatizo wa maji, au alikuja kutupeleka kwenye ubatizo wa Roho Mtakatifu? 👀 Tuangalie Maandiko pamoja kabla hatujajibu. #creatorsearchinsights #fyp #fypシ #viral #viralvideo

Graced Girl 🌸🤍
Graced Girl 🌸🤍
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 03:00:29 GMT
31861
879
390
78

Music

Download

Comments

meneshopping
Mene Shopping :
you are good at, naku follow, glory to God aliye kufunulia
2026-09-14 13:10:13
0
leahkunga
Leah :
those who were baptized were added to the church
2026-09-14 18:56:24
0
arnold.chichi1
Arnold Chichi :
May the Spirit of God teach you on how to understand the things of God🇰🇪🙏
2026-09-14 17:21:28
0
dr_chris7
Dr_chris7 :
Haha sio lazima [Tears of joy]
2026-09-14 18:27:09
0
boniface_og
Boniface Bonnie :
Marko 16:15
2026-09-14 19:23:21
0
iliverl
iliver :
Binti usipotoshe watu kwa kutumia neno la Mungu Mathayo 28:19–20 "Basi, nendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi." Marko 16:16 "Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini atahukumiwa." Yohana 3:5 "Yesu akajibu, 'Amin, amin, nakwambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu.'"
2026-09-14 14:27:56
16
petersabuni540
Peter Sabuni :
Yohana 3:5-6 [5] Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu. [6] Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili; na kilichozaliwa kwa Roho ni roho.
2026-09-14 08:17:21
11
willymngale
willymngale :
Yohana 3:5 Yesu akajibu amin amin nakuambia mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho hawezi kuuingia ufalme wa Mungu. Nadhani majibu umesha yapata.
2026-09-14 13:13:01
7
winniefridasway
Mamtumishi stationary🙏🏻 :
marko 16:16
2026-09-14 11:35:09
0
japharymrisho875
JJmrisho :
ubatizo wa maji sio lazima,,
2026-09-14 12:35:36
1
isanal_one
iSAnal_official :
ukimaliza Hapo ukasome MATHAYO 28:19
2026-09-14 12:29:30
1
kanyempwe0
Idf :
Acha nikamuulize AI 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
2026-09-14 15:16:26
0
princesssubira1
princess Subira :
Ubatizo wa maji hauna cha kufanya na wokovu ... wokovu ni kazi ya Kristo ... kwanini yohana alibatiza ilikua ni kumpoint Kristo Yesu ndio maana ilipofika zamu ya Yesu Kristo sauti ikatoka ikisema huyu ndie mwanangu mpendwa nipendezwaye nae msikilizeni yeye kwanini asikilizwe kwasababu yeye ndie njia ..kweli na uzima ... na ubatizo wa Roho ni kuamini kitendo cha kuamini ndo ubatizo wa Roho
2026-09-14 16:48:02
0
kala85758
kala :
ubatizo wa maji ni kielelezo cha kuzaliwa mara ya pili lkn hiyo bado haitoshi, kitu chochote kinachozaa ni mbegu hivyo basi ili uwe mtoto wa Mungu lazima uzaliwe kwa mbegu ya Mungu 1petro1:23 ili ujue mbegu ya Mungu ni ipi? soma Luka8:11. ubarikiwe
2026-09-14 11:37:47
0
jcm_jackson
Jackson :
Zidi kusoma mpendwaa🤝
2026-09-14 14:34:19
0
dumalukhy
Default :
Nnakuunga mkono dada... Nimepingwa Sana nilipofundisha hivyo kwasababu waIsrael pia kuvuka bahari ya shamu walihesabika kama wamebatizwa lakini maji hayakuwagusa... Maji ni just a symbol... Wapo walioamini bila kubatizwa Kwa maji kama Askari Yule mkuu WA gereza baada ya Paulo na Sila kuomba na milango ya gereza kufunguka
2026-09-14 13:39:22
0
xhi8036
xhi@ :
ni kweli upo sahihi yesu ndy aliyefunga kubatiza kwa maji sisi inabd tubatizwe kwa Roho mtakatifu na moto ambapo ni neno la Mungu na tunavyobatizwa kwa Sasa ni kama kivuli2
2026-09-14 15:56:50
0
ntahondi95
✍️Ntahondi :
Ubatizo wa maji hauwezi kumuokoa mtu, ni lazima mtu abatizwe ubatizo wa Yesu, ubatizo wa Yesu ni ubatizo wa Roho ambao ndio ubatizo unaomuokoa mtu. Soma na hii, “Wala mimi sikumjua; lakini yeye aliyenipeleka kubatiza kwa maji, huyo aliniambia, Yeye ambaye utamwona Roho akishuka na kukaa juu yake, huyo ndiye abatizaye kwa Roho Mtakatifu. ” Yohana 1:33.
2026-09-14 15:08:04
0
eddie02786
Eddie02 :
Yohana 1:6” Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana" Sasa Kama Yohana mbatizaji ndo aliyetumwa na Mungu, na Mungu aliruhusu Yesu abatizwe kupitia huyo Yohana, baaasi Ubatizo ambao Mungu anautambua ni wa aina ya ubatizo wa Yesu kristo pekee ambao Yohana aliufanya.
2026-09-14 15:03:20
0
adrianmimata_minister
Minister Adrian Mimata :
Mathayo 28:18-19 [18]Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. [19]Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
2026-09-14 12:19:38
0
user8372605384428
Gedy :
Yesu. aliwaambia wanafunzi wake enendeni ulimwenguni kote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu Aaminie na KUBATIZWA ATAOKOKA.
2026-09-14 10:38:40
0
christinamwaijib5
tynah :
kumbe bado kunawatu wanauwelewa mzuri 🥰
2026-09-14 12:47:48
0
user6149406512585
nodrick razalo mapesa :
watu wanatakiwa kujaa roho mtakatifu ukijaa roho utanena kwa rugha marko 16:16:17
2026-09-14 10:51:00
0
ms.___pendo
ms.___pendo :
Unachokisema ni kweli dada maana we angalia waliyobatizwa kwa maji bado hakuna badiriko lolote la maisha yao ila waliobatizwa kwa roho wana mabadiriko maisha yao 🙏🏼🙏🏼
2026-09-14 14:10:16
0
ziporasamson
zipor04 :
ubatizo WA maji ni lazima soma maandiko kiundani dada Acha kusoma juu juu alaf kumbuka yesu hakuja kutangua torati Bali kuitimiliza. ndiyo maana na yeye alibatizwa kwa maji mengiii
2026-09-14 12:04:24
1
To see more videos from user @graced.girl, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About