@mtu_safiii: part 342 | TUAMBIE WW MWANETU TUONE UTOTO WAKO #fyppppppppppppppppp #viralpost #universitylife #tanzaniantiktok🇹🇿 #ubungofuntiktokers🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

𝐌𝐓𝐔 𝐒𝐀𝐅𝐈_🏆🧸 🤟🏾
𝐌𝐓𝐔 𝐒𝐀𝐅𝐈_🏆🧸 🤟🏾
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 04:10:38 GMT
18774
1011
242
11

Music

Download

Comments

adeluna65
It's delah🌹🥀💞 :
nkipita kwenye nyumba ya vioo lazima nijiangalie😀
2026-09-14 05:41:33
61
aggy_star
Aggy_star💫 :
kudokoa mboga jamni
2026-09-14 08:32:43
16
01renah
Bãby 💫❤ døĺly_💞💞 :
kuchez cheza barabaran nd nmeshindwa kuach kbs yan
2026-09-14 06:47:40
13
user315431815199
ashanty :
kupenda kucheka nimeshidwa kuacha
2026-09-17 19:42:23
5
salome205525
salome20 :
kuitwa harafu nakaa kmya na nmeskia
2026-09-14 11:22:05
11
alexphilbertalex
wenie lymo😘 :
nikitumwa nje usiku naimb kwaya kujitia moyo nisiogope nikitoka hpo ni mbio
2026-09-14 15:20:12
8
officialsuzy26
official Suzy 💕 :
kucheka watu
2026-09-14 08:06:54
7
bela.daniel3
B🦚 :
Kujifanya naigiza unaweza sema niko na mtu namsimilia kumbe niko mwenyewe najisimulia
2026-09-14 10:36:27
5
bintjohn23
vernz🦋 :
kudeka kwa mama
2026-09-17 14:08:25
3
elishaday234
salalizm :
kuchek watu balabalan 2juaneeee😅😅
2026-09-15 14:28:26
3
mchilda.said
Mchilda 🥰 :
kulia
2026-09-14 06:28:33
3
jaya.mkali.4
JAYA MKALI 4️⃣✊ :
nikiendesha baiskeri lazima nichezeshe mkono kama naendesha piki piki
2026-09-15 20:40:38
4
happie.cute2
Happie cute🥰🥰 :
Kung'ata kucha jamn nimejarib kuacha ila mh nimeshndwa
2026-09-16 13:37:51
2
user5130601839070
verediana :
kusema nisamehe storidia alafu baada ya siku mbili naludia kosa lilelile
2026-09-14 11:19:21
7
user8782740282651
🎀husna🎀🧚🧚🌹 :
nikitembea juani lazima niangalie kivuli changu
2026-09-14 10:03:46
5
user7626581775941
Fetty lee 💕💞💞 :
jamn mm cjaacha kitu hususan kucheka watu ad kukaa chini
2026-09-14 10:38:52
3
user2536193463800
chugaa :
kuagizwa maji ya kunywa lazima nionje kwanza
2026-09-14 17:38:23
1
user3152598138247
Mkinga thee done💸💸 :
mimi kuzima alarm ikiwa inaniamshaas🤣🤣🤣
2026-09-14 10:49:02
2
mom.neema
mom neema :
daaah wew ndo mimi kabisa😂
2026-09-14 07:35:28
4
marietha.marwa
🕊Mari@🥀 :
kucheka watu balabalani na kosinta siwezi acha🤣🤣🤣
2026-09-14 17:36:23
2
joyce79824
joyce :
kuamshwa nikiwa macho nakujifanya nimelala
2026-09-15 14:09:14
1
chimamapalace
ChimamaPalace :
"kusoma vibango🤣hii njia mzee alikuwa anaitumia chekechea kunipima kama najua au sijui na had Leo najikuta tu naendelea nayo😁"
2026-09-16 08:49:42
1
princess.khaly
Princess khaly💍💎 :
Kusema peke yng
2026-09-14 06:11:40
0
pretty.faah94
Pretty Faah :
nikiangalia muvi za kutisha stok njeee
2026-09-14 17:33:52
1
ihdin_nasr
Iniad-Nasr :
mm nmejarib kunywa chai na mkate au maandaz bila kuchovya kwanza kwenye chai ila nmeshindwaa[Laugh approved]
2026-09-14 08:33:15
2
To see more videos from user @mtu_safiii, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About