@abiyadada1: #CapCut Pacha wangu 37 #trending #tanzania #viral #fyp

Abiya dada 💝🫣
Abiya dada 💝🫣
Open In TikTok:
Region: US
Monday 14 September 2026 04:22:41 GMT
611272
80024
1837
1295

Music

Download

Comments

she.is.missapple
Naima♥️ :
hawa manurse nmewapenda😂😂😂😂
2026-09-14 04:30:58
471
doris.filbet
doris Filbet 🥰🥰 :
duuuh katoto kazur kenyewe [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming] me
2026-09-19 07:43:41
0
user9966326671398
Zena h t :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimezima marangapi 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-14 05:28:11
143
atu_tondo2020
Atunyo :
manesi wananichekesha jmn😂😂😂
2026-09-14 04:57:34
95
user736naomie
Naomie💖💖 :
tunao chekana manesi tujuwane😂😂🤣🤣🤣🤣
2026-09-14 05:28:00
206
mundee09
Paulinah💞 :
😂😂😂😂Nipeni maji ya barafu ninywe
2026-09-14 06:15:15
42
user6812432965259
elizabeth :
jamani mlee tu
2026-09-14 18:47:06
0
usertabitha34
beaut chuga girl :
Nipeni maziwa nipeni maji ya friji nipeni pombe 🤣🤣🤣🤣
2026-09-14 04:31:04
233
user7688386199633
[email protected] :
Yan leo ni shooo leo ni cku yenu yakuzima zima🤣🤣ila nesi
2026-09-14 05:07:13
77
user6301488045540
Joyce :
maji ya barafu,🤣🤣,maziwa, pombe,fani😂
2026-09-14 08:32:19
18
being_cuttey
Suzie🥰 :
Ila manes mnamcheka baba wa mtt kwann😅😅😅😅
2026-09-14 10:52:57
21
liyahmainda
liyah :
jamani nimecheka sanaaa na hawa manurse ndiyo wanichekesha🤣🤣
2026-09-14 04:39:28
37
shadmaya.jaffar
Shadmaya Jaffar :
🤣🤣🤣leo ni kuzima tu
2026-09-14 11:01:14
26
ladydee5336
Ladydee♥️♥️ :
Ety kitoto kizur hiki nimpeleken bhas kwa mwanangu😂😂😂😂
2026-09-14 05:49:09
58
mgayobeautypoint
Pendobeautypoint👩‍❤️‍👩❤💕 :
😂😂mimi ndio huyo Nurse mwenye nguo ya bluu bahari
2026-09-14 06:04:11
28
user34009300921591
colletha@🌷💝 :
Huyu nimzungu namm nimweusi kama mkaaa ukome na bado 😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-14 05:49:53
18
zuuhdally
✨💞🅩🅤🅤🅗 🅓🅐🅛🅛🅨💫 :
uyu ni mzung na mm ni mweusi kam mkaa😁🤣
2026-09-14 09:52:01
15
malkia341
Malkia :
🤣🤣🤣 wauguz wameniacha hoi kwa umbea mpaka wamenishinda tabia
2026-09-14 06:50:48
17
esterbeautsaloon0
Esterbeaut saloon :
walaiii katika vipande vyote hikii kimejua kunichekesha 😂😂😂😂😂
2026-09-14 19:16:36
8
aminasaid070
minah🥰 :
nimewapenda manesi😂😂😂
2026-09-15 09:36:58
5
user6654986501556
niyonkuru Aline :
team anita mupo hampo?
2026-09-14 04:50:06
16
jasminmambo251
Jasmin Mambo :
😂😂 hawa manesi akilizao kama zangu
2026-09-14 05:53:45
12
anneekavira0
Anne Muhini :
ila ma nurse
2026-09-14 06:10:28
6
fatumasaidy103
Fatuma Saidy :
leo nimecheka mapak nimesahau shida zangu zote nimefurahi sana jmn uwiiii
2026-09-14 05:17:00
13
jazira.shabani3
Jazira Shabani :
nimejikuta nacheka kwasauti😂😂😂
2026-09-14 04:43:09
11
To see more videos from user @abiyadada1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About