wanaoweza kumuelew huyu jamaa ni wachache sana ....
2026-09-14 19:42:06
135
Notorious :
polisi anakagua risiti kama nani??
2026-09-14 12:34:47
52
Montana_sportsweartz :
mimi tv huchukui tunauana
2026-09-14 13:03:24
28
Hanc Aluminium :
wakiongezewa mshahara watapata wap nguvu ya kulinda wenye hela? police hela yake inabidi iishe kwenye matumizi ya kila siku tu. ili kila siku awe mtumwa wa kazi.
2026-09-14 11:04:07
77
Brayan Michael :
wambie
2026-09-14 21:46:36
0
peace rafael :
police police
2026-09-14 20:07:21
0
Samir lety :
Ukiona unafka sheri alafu juu wameandka zima sim alafu kwa chin pameandikwa lipa kwa sim jua kabsa ndo ushafka TANZANIA 😅
2026-09-14 10:23:38
37
user403hussein6885291813 :
rist ya efd mashine haimalizi hata week imefutika ila hii nchi😂
2026-09-14 17:27:27
13
Jr nyanda nsoga :
ndo aina yao yakudhurumu kaka😭, jamaa angu alibeba tv inch 43 anapeleka tv kuweka bond apeleke mwanae hospital wanampiga mkasi njiani, wanamuweka selo na tv wameshikilia wanataka box na lisit😭, et tv zinaibiwa sana wafanye utafit kwanza kama imeibiwa au la😢, imajin hospital inatakiwa pesa ya haraka sana mtoto atibiwe wanataka box na list na huku mtu wamenfungia chemba😭🫵, jamaa alilia akawambia mwanangu akifa namleta hapa mumle akanyamaza hakuongea chochote mpaka wakamuachia walimshikilia tangu saa nne asubuh hadi saa 11 jioni, na hapo alikuwa napesa kama laki na 20 waliibeba na alitaka aongezee ya matibabu ya mwanae oyah inauma sana
2026-09-15 10:49:40
9
KING OF LOVE :
poloce wananjaa sanaaa .. mpaka hatuwapend ..na hawajifikilii kabisa yaniii ....
2026-09-14 16:34:48
15
Karashnikov/ 47 :
Ungeongea nao t vizuri wasingeichukua pia tunpunguze jazba unapomuelekeza
2026-09-14 05:15:59
5
koboko :
hapo anaipeleka kwa demu wake
2026-09-14 11:23:11
6
MJA WA ALLAH :
kweli, polisi ni zaidi ya wizi
2026-09-14 10:40:49
9
user17802447739917 :
hakuna polisi mwenye njaa kaka kwa sasa ila swalu langu la msingi hiyo tv yangu ni ya halali? na huyo polisi ataamini vipi kama umenunua?
2026-09-15 18:53:22
0
muba mziguq :
kumbe sio wew hata mim kuna mtu alikamata sambil usiku nilicherewa kutoka kwafundi nikambiwa nme iba mpaka selekali zamta tumefika asubuh nmeambiwa nilud kulid wanataka lisity nka samehe
2026-09-14 11:02:08
6
Tumain Tanu :
sas wenyewe wanayo risiti ya tivi zao ndani
2026-09-15 15:56:45
1
Nandieliabu :
ulivoanza kidogo nikutukane😳
2026-09-15 05:57:08
2
kirungi :
tunao amini hata wakiongezewa mshahara watabaki na tabia zile zile tujuane hapa kwa like
2026-09-15 11:32:05
3
uncle_sule1 :
Pole
2026-09-14 09:57:02
1
Tony Mlatino 🇹🇿🇹🇿 :
nilinunua tv mwanza ikaja sirari baada ya muda ikaaribika nikapeleka kenya ile narud wananisimamisha eti nimenunua kenya tulizinguana sana
2026-09-15 15:12:39
1
Master peter :
Mwikizu kawaletee na nalimote kabsa
2026-09-14 10:14:11
4
Adelius Kilizostom :
mwanangu umenikumbusha machungu sana
2026-09-14 21:34:28
2
To see more videos from user @baba.jr44, please go to the Tikwm
homepage.