@iamlordrick_: Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa; ili kwamba lo lote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni. Yohana 15:16
kijana jmon mzur jmon Mungu ame mwanamke sahihi ambaye atafananabnae
2026-09-14 17:33:22
147
Glowing 🌟 :
I love this, God bless you Man ☺️
2026-09-28 07:01:16
14
Graciousfaith99 :
YESU YEYOTE ANAYEKUAMIN ASIONE HASARA KATIKA KUKUAMINI WEWE🥰
2026-09-28 17:56:10
51
@Mr.lumo_Actor :
Du, aiseee!! Mungu akubariki sana kijana.
2026-09-14 06:06:38
327
Esther Proches :
Mwanaume akimjua Mungu is a flex☺️
2026-09-28 08:20:19
88
Sarah Baraka :
AMEEN, GOD BLESS YOU
2026-09-14 14:12:26
24
Ms Irey ✨🦋 :
Wengine wanatuomba sadaka baada ya neno lakini wewe umelipa ili wakusikikize na kulijua neno… this is so deep.. barikiwa mtumishi wa Mungu🙌🏽🙏
2026-09-14 18:59:46
121
Madam_promax🌺 :
namfurahia Mungu kwa ajili ya taifa Tanzania 🇹🇿nchi yenye amani na free gospel (si kama mataifa mengne)for God jaman🙌🙌utukufu kwa Mungu wa Ibrahim. Amen
2026-09-28 23:07:30
8
First born☺️ :
Kijana mtanadhati na anamjua MUNGU barikiwa sana kijana 🥰
2026-09-14 08:39:41
64
Sacky 🇹🇿🇸🇪❤️ :
Kaka mzuri na anamjua Mungu, barikiwa sana kijana
2026-09-28 20:52:15
9
MCDreamgalMashini🌸 :
Anahubiri kipole bila kelele na hasomei mtu. Neema isipungue 👏🏾👏🏾👏🏾❤️
2026-09-14 17:20:02
21
mwalimu wa shule ya Jumapili.. :
Baraka za Mungu na iwe juu Yako..
2026-09-29 09:06:53
5
GGM Collection :
Hii ndio ibada Kamil
2026-09-15 07:30:40
9
Janeth Thomas140 :
ubarikiwe kijana mzuri[Red heart][Pray]
2026-09-14 13:12:56
61
ginah❤️ :
mkaka mzuri mwenyewe😁
2026-09-15 22:30:21
14
Oma'an :
Mungu akubariki kijana
2026-09-14 07:29:40
24
Angel shoo :
ubarikiwe na weww kijana....si ndiyo eeh
2026-09-14 10:33:48
11
Tina Kay :
Mungu naomba nipe mtoto wakiume kama huyu ahubiri neno lako,akutumikie wewe[Heartwarming][Teary eyed]
2026-09-23 18:09:01
8
To see more videos from user @iamlordrick_, please go to the Tikwm
homepage.