in Christ Jesus we dont give tithe , we give willingly
2026-09-14 18:36:25
1
Luminous Solar Solutions :
😂😂😂😂 Nawza pata voice note tuongee
2026-09-14 15:14:49
0
exavery deo :
AMEN🙏 AMEN🙏 AMEN 🙏GLORY TO GOD 🔥🔥👏👏
2026-09-14 14:19:58
0
kiwelu :
ooh my father tusamehee tunapokukosea.
2026-09-15 17:40:00
0
Mwakamele _Mwakimonga :
Mbona mimi natoa kwa uaminifu lakini bado naendelea ku struggle financiaĺly?
2026-09-14 19:30:48
5
Joe :
kwa mtazamo wangu nadhani watu wangeelezwa zaka inaenda kufanya kazi gani,,, hii ya kusema ukitoa utapata hiki au usipotoa utapatwa na hiki naona imekaa kimaslahi, mtu anatoa ili afanikiwe, afunguliwe milango, asilaanike, yaani iko kiubinafsi sana, imetafsirika kitorati yani, toa ili upate... ilihali tunaishi kwenye Neema, hakuna unachofanya kitachokufanya kuhesabiwa haki... ila nikijua inaenda kufanya kazi gani basi natoa kwa mapenzi binafsi ya kufanikisha kazi/shughuli husika na sio matarajio au uoga fulani.
2026-09-14 12:58:34
6
Joseph Asukenye :
SHIDA YA KANISA LA SASA NI KWENYE PROPER DOCTRINE USISHANGAE KWANINI KIPINDI HIKI KWANINI NGUVU ZA MUNGU HAZIPO TENA KATIKA NYUMBA ZA IBADA JIBU NI INJILI YA MAPOKEO.AINA HII YA INJILI INATABIA MOJA HAINA UBEROYA NDANI YAKE NI INJILI AMBAYO WATU WANABEBA DOCTRINES ZILIZOSHIKILIWA NA WAZEE WALIOPITA HAIJALISHI KWAMBA INALETA MANTIKI KIMAANDIKO AU HAILETI MANTIKI KIMAANDIKO. KUNA KIPINDI KATIKA HISTORIA YA KANISA ROHO MTAKATIFU ALIONDOKA KABISA KATIKA KANISA KWASABABU YA UDHAIFU WA MAFUNDISHO.HATA SASA KIPINDI KILICHOPO CHA KANISA AMBALO SI MOTO WALA VUGUVUGU KUNA HII TABIA YA KUCHANGANYA INJILI YA KIVULI YAANI TORATI NA INJILI YA NEEMA. KANISA WALA HALISHTUKI HAPO NDIPO SHETANI ALIPO TEGA MTEGO. HATA MAFARISAYO NA WAZEE WA MAKUHANI SIYO KWAMBA WALIMKATAA YESU KWASABABU WALIKUWA HAWAMJUI HAPANA ILA WALIWAZA AINA YA MAFUNDISHO YA HUYU YESU KRISTO TUKIYACHUKUA MAANA YAKE MASLAHI YETU YA KITORATI YATAISHIA HAPO.NDIYO MAANA WALIMUULIZA YESU KWA MAMLAKA YA NANI UNAFANYA HAYA?YESU AKAWAULIZA INJILI YA YOHANA MBATIZAJI ILITOKA WAPI KWA MUNGU AU KWA WANADAMU?AKITAKA KUWABANA KAMA HIVI HAWAELEWI KWAMBA HATA ISAYA ALITABIRI KUHUSIANA NA SAUTI ALIAYE NYIKANI?WAKAUTAMBUA HUO MTEGO WAKAKIMBIA NDIVYO LILIVYO KANISA LA SASA WANAUJUA UKWELI KWAMBA HIZO SADAKA KATIKA AGANO JIPYA HAZIPO ILA KAMA MAFARISAYO HAWAKUBALI WANAISHIA KUCHUKUA MALAKI 3:8-12 KWAMBA ASIYE TOA ZAKA ANALANIWA WAKATI WAGALATIA 3:13 NENO LINASEMA KRISTO ALITUKOMBOA KATIKA LAANA YA TORATI WAO WANASISITIZA USIPO TOA HIZO SADAKA UNALAANIWA INAMAANA HAWANA UTOFAUTI NA MAFARISAYO KATIKA KUTETEA MASLAHI BINAFSI NA WANAIKATAA KAZI YA MSALABA. NA UKIANGALIA KIUNDANI SEHEMU KAZI YA MSALABA INAKATALIWA NI MAENEO YA MASLAHI BINAFSI TU.2WAKORINTHO 9:7 KILA MTU ATENDE KAMA ALIVYOKUSUDIA MOYONI MWAKE,SI KWA HUZUNI,WALA SI KWA LAZIMA,MAANA MUNGU HUMPENDA YEYE ATOAYE KWA MOYO WA UKUVUFU.HATUONI MAHALI POPOTE KATIKA AGANO JIPYA KAMA MITUME WA YESU WAMEONGELEA TENA HIZO AINA ZA SADAKA.SIKU HIZI KUNA SADAKA ZA UKOMBIZI,SADAKA ZA AMANI YAANI KAMA VILE YESU KRISTO HAKUFA MSALABANI. SHETANI KAWAWEZA SANA EITHER KWA KUJUA AU KWA KUTOKUJUA.
2026-09-14 07:38:18
1
constantine :
fungu la kumi langu mayatima ndio watakula lakini si ety nipeleke kanisani
2026-09-14 08:33:06
3
Emanuel Njau :
Mungu niwezeshe kuwa mkamilifu
2026-09-14 16:08:01
10
Royal Priest :
Poleni sana. Ila jitahidini kutembea ndani ya agano lenu mnaloliamini. Ila msije mkayaleta hayo kwenye agano jilya hili lenye neema na kweli.
2026-09-14 16:32:55
5
Delphin Svein Mavwali :
NITAOMBA MAN OF GOD ALIYE POST ANIJIBU SWALI HII
JE HATA HIYO FUNGO LAKUMI UKIITOWA KWA YATIMA AO WAJANE AO MASKINI JE BODO HAPO UNGALIKI SAHIHI ? WALA INAPASHWA KUTOLEWA KANI SANI TU ?
2026-09-14 15:11:25
2
family :
fungu la kumi linatolewa unapoabudu na n muhimu sana kutoa aisee kama uko na Hofu na Mungu toa tu
2026-09-14 19:06:57
1
ben :
mbona Mimi niliamua kutoa kabisa bt vitu silianza kwenda opposite basal ya baraka Hadi ikavka time nikipata 700 ninandikiwa dawa ya hio mia Saba imagn
2026-09-14 18:43:03
0
Respicius Ravenah :
hivi ghalani kwake mungu ni wapi?? samahan lakn nataka kujua
2026-09-14 12:51:11
3
salvatorymichaelm :
Mimi naamin fungu la kumi,ila huwa haiajalazimisha upeleke kanisani tu.Unaweza kutoa ukiinenea kwa Mungu kwamba ni fungu la kumi,na ukatoa kwa watoto yatima,wagonjwa ila pia ujenzi wa kanisa lolote sio lazima unalosali,na Mungu akukuandikia umetoa.Usikariri kupeleka kanisani kwako sbb mchungaji anakwambia.HAPANA.
2026-09-14 17:32:03
0
nikoambayeniko_fabrics :
Fungu la kumi zaka kuwa mwaminifu mimi nina ushuhuda 🙏 God has done
2026-09-14 20:11:05
2
gennily :
mimi nimetoka kwe level za fungu la kumi sahiv namtolea Mungu 20% ya mshahara wangu aah alafu nasahaugi kabisa kama nimetolea ila majibu ambay nayapata yanatisha uuuw ni nomaa
2026-09-15 15:17:37
1
cat@mhagma :
Amena nimepokea sana sita acha kutoa fungu la kumi
2026-09-15 14:03:30
1
Eli Abraham mmary :
Sasa mtumish nawewe unasemaje
2026-09-14 06:58:52
1
misslaizer💕 :
Me kwa kweli nimeanza kutowa fungu la kumi kwa uwaminifu nimemwona mungu sana sijawahi kupungukiwa
2026-09-15 15:06:37
0
neo :
MUNGU wetu si maskini anachotaka tuwache dhambi na kumfuata
2026-09-14 14:49:59
1
Leah :
did apostle paul pay tithe, neither did. Jesus give
2026-09-14 18:37:34
1
pbeautysaloon7 :
Zaka na fungu la kumi ni tofauti
2026-09-14 17:57:34
0
Duka la sweta(ladies_clothes4) :
Mi nimechukua tekniki za matajiri wengi na nimeanza mfumo huo tangu mwaka uanze…naenda sokoni Nachek wale Masai maskin kabisa anauza vitu vyake kwenye sinia nanunua vyote na namwongezea msingi wa biashara yake, Maombi atakayoniombea 🙌🏻 cha pili Nina Kituo cha watoto ambao wanatupwa nanunua maziwa na daipa napeleka basi Mungu anabariki… nasaidia wale wanyonge na ambao hawana chochote!
2026-09-14 12:43:56
3
madam E :
Mtumishi zaka nikitoa nje ya kanisani kwa mfano nikitoa kuwapa maskini, yatima na wenye uhitaji. je nisipoitoa kanisani itahesabika kuwa nimetoa zaka ?
2026-09-14 11:49:11
0
To see more videos from user @official_kuhani_atson, please go to the Tikwm
homepage.