@mwl.emilian.katub7: Ninakuombea mambo haya wiki hii katika jina la Yesu 1. Neema ya kupendelewa ikawe juu yako wiki hii katika jina la Yesu 2. Ninakuombea wiki hii ikawe ni wiki ya urejesho, kila kilichoibiwa kwenye maisha yako kikarejeshwe katika jina la Yesu 3. Ninakuombea wiki hii malango yakawe wazi ili mataifa wapate kukuletea utajiri katika jina la Yesu Wiki yako imebarikiwa!!!!!!!!
Mwl Emilian Katubayemo
Region: TZ
Monday 14 September 2026 05:53:46 GMT
Music
Download
Comments
nurah ❤️🇰🇪💯 :
Amen Amen thank you Jesus 🙏🏾
2026-09-26 17:36:40
0
chosen by God :
in the name of Jesus Christ ameeeen
2026-09-25 16:25:24
0
Matthew King :
ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen ameeeeeeeeen amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn amennnnn
2026-09-15 13:27:00
4
Mgabe jr :
Amen amen napokea kibari chang cha urejesho kwa jina la yesu kristu
2026-09-14 06:50:49
17
it's c :
najiungamanisha kwa jina la Yesu kristo
2026-09-20 17:10:58
14
Çħlœě Æmæþħo :
🙏🙏Kila kilichochukuliwa na ibilisi kwenye maisha yangu kinanirudia mara sana Amen 🙏🙏🙏
2026-09-14 09:23:06
9
Kidoti mabites :
Amina mtumishi napokea kwa ushindi[Pray] mkubwa
2026-09-21 07:38:48
4
Bambi 🎀 :
Unirejeshee Eh Yesu miaka hiyo iliyo liwa na panzi 🙏
2026-09-14 08:26:03
7
Kabula Cosmas :
Amina napokea week ya uongezeko kibiashara,kiafya,kifedha, kukumbukwa na watu sahh pia nipate ndoa
2026-09-21 15:48:39
3
Upendo Lusekelo :
amen najiungamanisha katika maombi Yako mtumishi
2026-09-21 13:07:18
1
Ms_maggie :
Amina napokea 🙏🙏🙏🙏
2026-09-20 06:25:08
2
megi_official :
amen napokea ushindi wa ulejesho kweny maisha yangu kwajin la yesu🤲🤲🙏🙏
2026-09-21 12:46:42
1
mama trixious :
WIKI HII TUNAYO ENDA KUIANZA IWE N WIKI YA ULEJESHO MALANGO YAKA NIFUNGUKIE KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZALET ALIE HAI AMENI 🙏
2026-09-20 15:32:49
3
davidjuif1 :
Amen 🙏
2026-09-14 06:23:23
1
JB :
amina wiki hii ikawe neema ya kupendelewa ikawe juu yangu
2026-09-14 21:10:01
1
Huncho smart :
Amenii
2026-09-14 21:07:22
2
user6207262818286 :
Amina
2026-09-14 06:33:43
2
Mama Abby :
Amen 🙏
2026-09-21 17:32:36
2
Janet Kioko mukui :
Amen 🙏
2026-09-14 16:11:21
2
Mbonima Catering :
Amen Amen Mtumishi Napokea Katika Jina la Yesu Kristo, Nikarejeshewe kila kilichopotea na kibari.
2026-09-14 11:43:30
2
Hope Mathew :
Napokea urejesho kwa jina la YESU KRISTO 🙏
2026-09-14 06:32:11
1
Diana Peter437 :
Amen napokea 🙏 kwa jina la Yesu na kwa damu ya Yesu
2026-09-19 20:38:48
1
dosy :
Amen in jesus name
2026-09-21 13:16:12
1
pasteur Aaron :
Amen Amen mtumishi wa Mungu.
weye kwangu ni baraka tena mwalimu.
ubarikiwe Sana.
2026-09-14 17:55:14
1
mourine matinde :
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen mungu nkumbuke hii wiki😭😭😭😭🙏
2026-09-19 18:44:52
1
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.