@veriafya: Prof. Mohamed Janabi ambaye ni Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika anabainisha kuwa Miaka ya hivi karibuni, Chakula imekuwa ni chanzo kikubwa cha Ini kupata mafuta tofauti na miaka ya zamani ambapo pombe ilikuwa sababu kubwa. Kupitia Mahojiano yaliyorushwa na Kituo cha TBC, Februari 21, 2024, Prof. Janabi anafafanua pia baadhi ya njia zinazoweza kutumika kuepukana na hali hii.