@dully_favorite: DUA GANI JAMANI 😂 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

Dully Favorite
Dully Favorite
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 06:06:18 GMT
177165
5812
262
474

Music

Download

Comments

abdillahsaid34
Broken :
kuna siku nlisimam apo zaid ya dk10 nliwaza mengi sana😂😂😂
2026-09-14 15:14:08
174
faithmouhd
faymo94 :
uzuri mbinguni tutajua ukwel
2026-09-14 09:38:44
67
salehe.njalizi
Salehe Njalizi :
utabalikiwaje ww wakati ukipata 1m fungu la kumi unatoa 1000😂😂😂
2026-09-14 10:13:25
88
mimaht12
bahatisalum1112 :
:ifke atua wasoma comment tuwe tunalipwa hii kazi cyo pw ni sawa na saidia fundi
2026-09-14 10:53:41
31
king_nsangilaii
Nsangila II 🌟🏆 :
Hivi ni hizi hizi Dua na sala tunaomba msikitini na kanisani au kuna kiyu tunakiacha jamani
2026-09-14 08:58:33
57
anitajosephgmail.com
anita :
Na mimi anifundishe,pengine nakosea kuomba😁😁
2026-09-16 06:28:26
9
munaharaka12
a'saa khairaa :
mbinguni hakuna kitakacho kuja kufichwa yote yatwekwa bayan 😁😁
2026-09-14 18:12:43
9
d.killer72
D KILLER🗡️🌐🎸🎤💎 :
uzuri mbinguni nitakaa Siti ya mbele nikila popcorn 🍿🥤 uku nikijitazamia
2026-09-21 16:17:50
0
feystoretz
feystoretz :
wenzetu sijui wanaomba kwa kukaa au kwa kusimama😳
2026-09-14 14:47:21
16
user9959413763855
GACHMAX G7 TELCASH :
napafahamu hapooo ni maziwa hayooo🤣🤣🤣🤣
2026-09-14 07:11:33
9
selestinpaulmtau
selestinpaulmtau :
au na mim nianze kuuza maziwa tuone
2026-09-14 16:27:25
8
marrysamsoni487
marry dimples🍏🍭🍬 :
hilo jengo lipowap jamn mbona lina trend😂😂
2026-09-14 15:42:16
6
esther.official87
Esther official :
baba yetu ulie mbingini,jinalako litukuzwe, hapa duniani kama uko mbingini ,utusamehe makosa yetu ,kama tunavyo wasamehe walio tukosea ,usitutie majalibuni ,lakini tuokoe na yule muovi kwakuwa ufalme ni wako na nguvu na utukufu sasa na hata milele wote tuseme AMEEEEEENI basiiiiiiiiiiiiii.........!
2026-09-14 11:27:20
13
rahmatailor26
rahma bashir :
Naweza Onana nae jamani anipe Ata Pesa ya cherehani tu,, mola ampe zaidi ya hiyo nyumba ake😂
2026-09-14 14:21:36
6
mosquitoes68
mosquitoes :
hivi huwaga kwake wapi
2026-09-14 09:55:57
6
emmanuela.kangesa
Emmanuela Kangesa :
ndio akanunua na mbunga jaman wenzie tutaogelea wap😂😂
2026-09-15 06:05:33
5
mashaka.bernado
MASHAKA BERNADO :
kwani huwa anauza lita ngapi kwa siku? mbona wengine tunafanya biashara hizi ambazo matajiri wemeshawahi kuzifanya mbona hatufanani nao!!!bali nina pata ya kula tuu
2026-09-14 14:39:21
6
girlattitude0786
PUNJABI GIRL :
au kuna na vingine
2026-09-16 07:29:47
2
chiomayusuph45
Chioma🦋🔐 :
Asee nikipit apo nawazag au bac ninywe yought yang mie🙌😂
2026-09-16 03:30:03
2
biashara_na_.miriam
Biashara_na_.miriam :
kuna hiyo nyingine ipo hapo upande wa pili wa barabara na yenyewe ni moto wa kuotea mbali hadi unasema ni mungu huyuhuyu au kuna mwingine
2026-09-18 10:45:53
3
blessingfetty26
blessingfetty :
hapo iringa kwa asas
2026-09-17 05:58:32
2
yesuwamchongo
yesu :
mbona kawaida sana tu hio
2026-09-16 08:31:54
4
bra_classic_wear
Bra Classic Wear :
Au wanaswali Swala 10 wanadouble zile 5 🤣
2026-09-19 11:47:41
4
loveness.chacha
Loveness Chacha :
Duuu au mm huwa namfokea mungu wkt w kusali
2026-09-19 13:13:21
4
user7885230314372
MulhatRaj :
au mi huwa naomba Kwa kumfokea Mungu?
2026-09-17 16:36:19
5
To see more videos from user @dully_favorite, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About