kilaa nikitaka kuliaa🥲 nashidwa🙇🙇
namshukuruu kwa Kila jambo🧘🧘
MUNGU akubariki sna dada janeth
wimbo wangu wa Kila mda🎧🎤
2026-09-14 13:28:31
5
kidoh15 :
Nasema Ahsante Mungu🙌🏾😫🧎♀️kwa kila kitu,Ahsante kwa kunipendaaa Mimi na Ndugu zangu YESU🥹🧎♀️sina chakukurudishia Mimi YESU nasema nashukuru🙏🏾📌😫
2026-09-14 21:15:05
1
Kijahh Saidy :
Iam a Muslim. But I love this song …be blessed
2026-09-20 16:43:25
0
happyGG :
god bless you madam janeth❤️🙏
2026-09-16 13:17:08
0
Tuyisingize Tirithein :
ndagukunda cyanee
2026-09-19 18:34:52
0
FAV🦋DORY💋❤️✨️ :
Nabarikiwa kupitia wew dada janeth🥹🙏Mungu azidi kukuinua
2026-09-14 10:53:34
1
SOUND OF REVIVAL 🔥💯🙌 :
Glory 🙌🙌
2026-09-21 07:33:59
0
angaliacodevizuri :
thante wimbo unanibariki san
2026-09-22 05:32:01
0
Dorcas Abdallah :
Mungu aendelee kukuinua baby girl 🥰🥰
2026-09-17 06:12:34
0
Furaha :
naisubilia sanaa session 2
2026-09-16 10:16:51
0
Merrie worshiper :
nakupenda mungu akutie nguvu zaidi na akupe neema mam
2026-09-16 20:40:24
0
Mtoto wa YESU :
Mungu akutunze siku ukitaka backup mim nipo tayar
2026-09-14 15:29:28
1
Jayner :
ila we mdada Mungu akubariki sana nimebarikiwa sana na wimbo huuu
2026-09-16 05:39:44
0
user3883910130404 :
kaimba nani huu wimbo jmn, mbona una ni bless 😢
2026-09-16 19:32:58
0
anipher :
Amina
2026-09-21 12:51:42
0
tabitha :
amen🙏🙏
2026-09-17 12:10:36
0
Pharm Japhet onesmo :
Sister , una sauti ya Baraka sanaa , ubarikiwe
2026-09-14 06:15:11
0
Furaha :
nimefurahi sanaaa jmn
yalikuwa ni maombi yangu kwa mda mrefu juu yakoo ufikie hii hatua namwamini Mungu kwamba utukuvu wa mwisho juu yako utakuwa mkubwa sanaaa kuliko huu wa kwanzaa
2026-09-16 10:15:58
0
Dickson christopher :
be blessed sister
2026-09-15 05:02:06
0
Gee outfits store..👖👗🩳👚👙 :
dah hii sauti inanikosha moyo wangu sana ❤️🌹🥰
2026-09-14 19:30:42
0
grace gracie :
woooooow🥰🥰💥💥💥🙊🙊
2026-09-22 14:53:36
0
Anney :
nakupenda sana, Mungu azidi kukuinua
2026-09-15 05:40:52
0
ellskizzy :
2026-09-15 04:12:00
0
Lonah :
more grace 🙏🙏🙌
2026-09-15 12:21:00
0
dotto27 :
nabarikiwa kupitia ww
2026-09-14 06:15:41
0
To see more videos from user @janethnehemia1, please go to the Tikwm
homepage.