tena wahosptal wanajionaga na wao ni Madaktar😆 anataka ajue unaumwa nini
2026-09-14 08:31:05
118
Heavenlyblessed :
umesahau chuo especially saut na sehem waloeka dressing code 🤣🤣🤣🤣
2026-09-14 14:08:07
0
Don Mathews940 :
ukimwita kamandaa,aaah umemmalizaaa kbsaa🤣🤣
2026-09-14 09:53:55
33
Fernandos :
Tutakuafitilia[Tears of joy]
2026-09-14 13:04:51
0
KhadijaIrene :
wale wa hospitali hapana....nikikumbuka mdogo wangu yupo kufa kupona pale rufaa moro afu mlinzi ananiletea ujinga na mkononi nina madawa nayawahisha ICU, ile siku ndo nilijua mimi ni first born na nampenda mdogo wangu mno.
2026-09-14 07:44:51
32
jackie_mahenge :
Wanakihelehele balaaa
2026-09-14 14:41:59
0
Badi Bao :
ukimuita IGP anakupa kiti kabisa😂😂😂
2026-09-14 13:59:18
6
Ms Ney🫦🌻 :
Jamn mbona sie wapole[Tears of joy]
2026-09-14 06:35:58
2
god first :
😂😂😂nawaitaga suma sitaki mchezo kabisa na wafanya usafi vishingwendu 😎😂
2026-09-14 13:44:13
1
🪡 sew with me(madam hamida) :
Nimejikuta na concentrate na story🤣
2026-09-14 12:46:05
4
Barageti_10🇹🇿 :
wale jamaa sijawai kuwaita mlinzi. namuita kamanda au afande napendaga tuu kumuheshimu mtu alie mbele yangu.
2026-09-14 14:50:06
2
Gemini🦋🌹 :
Hospital 🤣🤣
2026-09-14 09:19:16
0
Flooooreeeee mimi :
izo chapati asee😊😊
2026-09-14 14:55:51
1
Betty🧚♀️💞 :
Ni kweli kabs wanapenda heshima mno
2026-09-14 08:03:02
10
hidaya hidaya♐️ :
🤣🤣🤣🤣 mm niliwaigi muita korokoloni man nilikoma toka siku hiyo huwa namuita afande basi mwenyewe anacheka
2026-09-14 14:55:55
1
Victor Mathias Charl :
mbn karoti hazijaiva vizuri umesha tegua
2026-09-14 16:08:32
0
Edna mwemutsi :
Nilienda kumpelekea mdogo wangu kitu shule nikamuamkia yule baba nikapiga na got la mjini, wee aliniruhusu adi kumuona mtoto wakati ilikuwa hairuhusiwi. So you are right.
2026-09-14 07:20:48
7
MR'S BEE :
akhaaa mi siwezi yani naona mgambo alafu anilazimishe kumuita afande aku mi siwezi😂😳😳😳😅
2026-09-14 12:46:04
2
Gerrald Lemakoo :
ilo sotojo na chapati mm hoi
2026-09-14 11:58:38
1
official starshy :
ila mmmh 😂 wanajua kukaza
2026-09-14 12:35:09
1
leyla :
kwani viazi kwenye njegere Zina saidia nini jamani
2026-09-14 22:10:50
0
Yuyajunior :
afande 😂
2026-09-14 21:02:50
0
J O S I E 🤍 :
mm hua nawapa kbsa tip yan
2026-09-14 20:27:41
0
To see more videos from user @chefjosephine06, please go to the Tikwm
homepage.