@innocent_raphael: Najua nikifika ofisini, saa tatu tatu hivi kuna supu na chapati mbili zinakuja. Sasa sijui ile formula ya chapati mbili nani alileta… lakini wote wanajua kuna supu na chapati mbili. Unamweka mtu anakusubiria umalize chapati zako.” Kauli ya Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi, imeibua hoja kuhusu utamaduni wa mazoea katika utumishi wa umma hasa pale huduma au matumizi fulani yanapoendelea kufanyika kwa sababu tu “ndivyo ilivyozoeleka.” Ujumbe wake ni rahisi lakini una uzito: utumishi wa umma unahitaji nidhamu, uwajibikaji na matumizi yenye sababu, si kila jambo lililozoeleka linapaswa kuendelea.

Innocent_Raphael
Innocent_Raphael
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 06:18:46 GMT
57008
1231
19
35

Music

Download

Comments

kalatembo
Triplerhesus :
Tuache
2026-09-14 23:54:22
0
corzone6
coràzone :
uzuri nna areg na sup na chapat
2026-09-15 19:49:04
0
sabayasimelli5gmail.com2
sabaya simell5gmail.com2 :
tunaachaje wakati mnatufunza nyie
2026-09-15 20:15:15
0
juma.masirori.kir
Juma masirori Kirobi :
uko sawa kaka
2026-09-15 18:47:57
0
hump_tz
Humphrey_FXS :
Kwan Kula kazn n kosa issue unakula wakat gan office yyte kama kuna wateja au wagonjwa Kwa mahspitali kuna colleges mmoja katoka mwengne anahudumia wengne sioni point hapo
2026-09-14 07:52:05
2
user34190442poul
paul :
MKUU MKUU MKUU nimekuita mara tatu unaenda kuiwezea hii nchi MUNGU aendelee kukutunza.
2026-09-15 15:49:50
0
usercm4cxy9keo
ibraah money 💰 🤑 💸 :
sielewi
2026-09-14 13:09:39
0
lagaspal2
lagaspal :
kumbe mnanunuliwaga za bure
2026-09-15 08:22:59
0
fadhili810
Fadhili mohamed :
🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-15 16:34:28
0
user3286820728702
Adamnice Ngonyani :
upuuzi mtupu,yani ni madudu tuu😡
2026-09-14 09:27:38
3
likedsimba2
likedsimba :
ewaaa ww ndoo tulikua tunakutak makamo kam wewe sasa baba em tusaidie madeleva
2026-09-15 10:31:04
0
okay.okyesa
okoya.okyesa :
Fanyakazi watanzania hawataki maneno mzee unaanza kuongelea chapati kweli wewe
2026-09-15 11:09:21
0
user2631650225741
user2631650225741 :
😳😳😳
2026-09-15 08:45:25
1
user4716759186685
user4716759186685 :
😳😳😳
2026-09-14 18:58:08
1
gp.kapey.jr
Abaya Plaza Fashion :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-14 15:26:29
0
godfre164
Godfrey used spare parts :
😂😂
2026-09-14 19:51:15
0
arnoldtiger_store
Arnold Mwambungu :
🏁✝️🏁
2026-09-14 08:27:16
0
mc_papilito
𝐏𝐚𝐩𝐢𝐥𝐢𝐭𝐨 :
Yaani Tanzania ndo nchi peke unaweza ukaandika vocodam na watu wakasoma vodacom😂
2026-09-14 13:59:10
0
To see more videos from user @innocent_raphael, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About