@saada.m.omar: Ukwe uke wenza shkamooo

saada m omar
saada m omar
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 06:20:31 GMT
201273
13726
292
596

Music

Download

Comments

fathush67
فاطمة 🥰🤌🙏 :
Mungu aniepusha nisipate wa zamu 🤲😂😂
2026-09-14 08:03:31
78
user1990941022691
KARIIMA ABDALLAH :
nimegundua WANAWAKE wengi wa ZANZIBAR wanakipaji cha kuimba TAARAB
2026-09-14 16:35:50
63
bin.nassor20
bin nassor :
tunaoangalia jumanne tujuwan kwa like
2026-09-15 02:51:53
52
ummuabdi012
ummuabdi@01 :
bwana huyu apa ndo naondoka nae😂
2026-09-14 08:34:33
45
mohd24918
Moh'd :
wa jumatatu mpo
2026-09-14 07:38:21
22
lamudhowadventures
Lamu Dhow Adventures :
Ah mimi pia nikiimbiwa hivo sinyanyuki🥰
2026-09-14 07:54:38
18
0617350826.ahmed
0617350826 ahmed :
utaniuwa saad na hizo nyimbo
2026-09-14 06:53:09
14
dalyat.sineno6
dalyat sineno collection :
bwana tunae na tunaondoka nae sio shida zetu🤣🤣🤣
2026-09-14 12:37:20
13
_ladies_world
Mammy 💖 :
Jibu la mke mwisho nimependa 😂😂😂😂
2026-09-14 07:27:23
13
nunanafiish
Sleeping beauty 💕 :
habbatil muluki heeh niuwe somo🤣🤣🤣
2026-09-14 07:00:50
11
mulaty5
user7420145395972 :
nyimbo iyo y mwanamke inaitwaj
2026-09-14 08:42:23
7
tumi_classic
Tumi_classic :
Mm mke mkubwa ananimaliz ataaarrrr😂😂😂😂
2026-09-15 13:28:20
7
suleiman.haji57
Suleiman Haji :
Habbatil Muluki
2026-09-14 09:11:17
6
ibrahimally865
ibrahimally865 :
hhhhhh eti kishaozaa, kinanukaaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]imenifanya nichekee kw sautii
2026-09-14 07:22:32
5
rahmakhamissrahma
Rahmakhamiss Rahma :
tunaomkubali mke wa mpemba tujuane
2026-09-14 13:18:15
5
shuwenaabdalla
Shuwena Abdalla :
mke wa kwanza yupo juuuuuuuuuu
2026-09-14 12:02:00
5
zamzam00374
zamzam00374 :
Mpemba ongeza wa 3 😅😅
2026-09-14 07:56:15
5
jayalomaurice
The Jayalo's Enterprise :
nitapata wapi kama huyu wa kunifuata...
2026-09-14 16:41:24
5
mesaidi1
MAMA SITI :
kwa mke mkubwa shida mke mdogo balaa🤣🤣🤣
2026-09-14 18:53:44
4
zaitun.abdallah8
Zaitun Abdallah :
mke mkubwa jibu la mwisho nimelipendaa🤣🤣🤣
2026-09-14 11:02:52
4
user3771500060575
953538 :
wakalimani wa lugha ya alama tupo signs language 😅😂😁
2026-09-14 12:58:42
3
user4615392599800
user4615392599800 :
Nlijua Ajumy ataliazishaaaa
2026-09-14 18:47:06
3
cutebunnykipanga
Bint Sultan :
MashaAllah Mungu atuifadhi na aziongoze nafsi zetu maishani tuifadhike mikononi mwa waturidhiao
2026-09-14 18:35:17
3
ibrahimally865
ibrahimally865 :
Raha y wake 2 kila mkigombana cc wanaume ndio tunaona rahaaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-14 07:31:39
3
shuwenaabdalla
Shuwena Abdalla :
anajua n anaweza mpk bas
2026-09-14 12:02:10
3
To see more videos from user @saada.m.omar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About