@midwife_sarahtz: 🤰🏽 Mjamzito anahitaji zaidi ya chakula. Anahitaji kusikilizwa, kuheshimiwa, kusaidiwa kazi nzito, kupata lishe bora, kwenda kliniki kwa wakati na kupewa support ya kihisia. ❤️ Kumbuka: dalili za hatari zisipuuzwe. Ukiona dalili zisizo za kawaida, tafuta huduma ya afya haraka. 👥 Mtumie mwenza, mama au ndugu anayemhudumia mjamzito. #Ujauzito #MamaMjamzito #ElimuYaUjauzito
midwife sarah tz
Region: TZ
Monday 14 September 2026 07:11:31 GMT
Music
Download
Comments
edna silver :
Samahani umewahi kuwa balax hospital momii au nimekufananisha
2026-09-15 05:24:55
1
laymbengari :
𝕟𝕒𝕓𝕖𝕓𝕒 𝕞𝕒𝕕𝕦𝕞 𝕪𝕒 𝕞𝕒𝕛 𝕙𝕒𝕥𝕒𝕣
2026-09-14 17:56:34
1
officialedwardtz💊🦌 :
engineer from kilwa road✊️
2026-09-14 07:21:05
1
Anna trends :
Jaman hii kutapika kila siku je ni hali ya kawaida 🥲🥲
2026-09-14 16:20:29
1
W.ghka :
me ata sisikilizwi Amna anae nijali ela yakuanzia kiliniki nimenyimwa Yani nachok mbak naishiwa nguv
2026-09-15 06:40:19
1
🎀BABE🎀 CUTE🤍 🦂 :
nikupe no umtumie mwanaume wangu 😫
2026-09-14 19:03:00
2
YAM✨ :
sipati usingizi nisaidie
2026-09-15 13:11:50
0
user1853798781261 :
ss sijiw km ilingia mwez wa kwaz au wakumi na mbili
2026-09-15 09:07:40
0
Neema :
yaan Mme Wang ata nikiwa xijixikii vizur ajali ata nikimuomba anixaidia atak axubui Mimi ndy wakwanza kuamka naenda dukan yey namuacha kalala
2026-09-15 09:43:55
0
tinah official :
Nabeba maji jamniii as nipo mwenyew Kaz atnfnyia nan
2026-09-14 19:31:25
0
Dija hennah :
habar yk nimetoa kijiti tareh 2 ikakutan na mume wng tareh 3 tng juzi najiskia vby je kun uwezekan wa kupat mimba bl kuingia perioud
2026-09-14 20:29:56
0
user1853798781261 :
kwa sbb naona nilitumia mwez wa kwaz tareh tatu mpaka tareh saba na sijaiyona tena
2026-09-15 09:06:45
0
🎀Da mariam🎀🌸 :
Hizi dawa jaman za kidonge kimoja kwa siku 🙌unaweza ukaichukia mimba
2026-09-14 14:02:45
1
God save me 🙏💕 :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-15 11:56:56
1
adili🥰 :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-09-16 09:17:46
0
adili🥰 :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-16 09:17:52
0
To see more videos from user @midwife_sarahtz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.