@mr.tronix__tz: ❤️📱 Mama yangu leo amekuja kunisapoti kwa kununua OPPO Reno5 Pro mpya kabisa dukani kwangu! 🥹🔥 Support ya mama ni kitu cha thamani sana ❤️🙏 Asante Mama kwa kuamini biashara yangu. Mungu akubariki sana! 🙏❤️ #MamaSupport #OPPOReno5Pro #Unboxing #MrTronixTZ #SimuKali