@richardsimeod: #jifunzekitu #formychampions

Richard Simeo
Richard Simeo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 14 September 2026 07:40:18 GMT
85667
4855
205
472

Music

Download

Comments

jacqulienejacques
jsqure :
Uliponaje kaka nimsaidie baba yangu ,a nateseka😭😭😭
2026-09-14 08:47:52
74
doreenmussa692
Doreen Mussa :
leo swal langu lmejibiwa pole sana kaka
2026-09-14 08:52:32
78
skosko003
𝓢𝓴𝓸𝓼𝓴𝓸 ᥫ᭡🌸 :
then kuna mtu anatokea alipotoka anauliza tu mbona umekonda? hata hawajuagi watu wanapitia nini aseee🙌
2026-09-14 09:44:53
33
nasra.yahya01
Naa🌸🍁🌸 :
𝐝𝐮𝐮𝐮𝐮 𝐩𝐨𝐥𝐞 𝐬𝐚𝐧 [Teary eyed]
2026-09-14 19:47:44
0
kurwamauma
Kurwa Mauma :
jamani kwani kuna dawa ya kisukali inayoponesha kabisaa, au inapunguza ukali wa kisukali?
2026-09-14 08:32:21
19
marytomito
Mary Tomito :
Pole Bro
2026-09-15 09:02:28
0
eyesnalee
IT'S NAL££ :
pole sasaaana
2026-09-14 09:46:51
0
regan.allen28
regan allen :
Dah!! Kumbe Mungu Ni Mwema sana 🙏 Hongera sana Kaka
2026-09-14 07:46:54
26
aqua27_events
aqua27_events :
pole shem
2026-09-14 10:12:29
0
kissramiddy
Kissra middy :
Pole Kaka rich
2026-09-14 09:26:45
0
dottogagah481
Gagah Online store 🇹🇿🇦🇪 :
kupona are you sure
2026-09-14 13:28:29
3
nasri95991
🦋Tina🥰🦋 :
Huwo ndo ugonjwa unawomsumbuwa baba yangu jmn 🥹🥹🥹
2026-09-14 16:31:28
0
user307243001niyonk
Grace Niyonkuru :
😭😭inabidi tujishushe kweli mwili ni bure
2026-09-14 09:57:29
3
scolah.zunda
scolah.zunda :
Pole sana kaka hakika Mungu ni mwema 🙏🙏
2026-09-14 09:35:09
4
mimahnails1
mimah nails 💅 :
pole sana kaka, mungu akujaalie afya zaid
2026-09-14 09:40:21
2
user5100905732049
user5100905732049 :
pole bro
2026-09-14 08:18:20
0
lizzyleonce
lizzy :
God is good Mungu aendelee kukupa afya njema
2026-09-14 10:31:11
2
dalali_ngikatheboy_shy
dalali ngikatheboy shinyanga :
Pole sana mkuu
2026-09-14 09:40:19
2
khadija_yusuph
khadija fadhil :
Poleeee
2026-09-14 07:47:03
2
rukshlyboga
Rukshly🪬🌹💞Boga💥🥰 :
pole snaaa😭😭ilikua inatuhuma snaa pole kaka
2026-09-14 09:21:27
3
2478suji
whatner👔 :
pole sana kweli hujafa hujaumbika,nilikuwa nakufatilia sana tu video zako,kumbe nyuma ya pazia ulikuwa unaugulia kisukari,Mungu ni mkubwa 😥😥
2026-09-14 10:40:52
2
s30_leo7
leo ♌️ :
Aah sukar ilinikondesha sna yn nakunywa maji lita hata tano kwa siku nikikojoa tu nachupa yangu litoma nagida mpk inaisha nimekunywa dawa mpk nimechoka nikamwambia mungu wewe ndo umeniumba sasa wanadam wameshindwa naonba uniponye wewe yan saiv kwanza mwili umeanza kuludi maji nimepunguza namshukulu mungu kwakweli kwa hatua hii
2026-09-14 14:09:54
3
_didi2555
daisy_🇹🇿🇰🇪♊️ :
pole sana mwalimu
2026-09-14 09:17:47
1
rohosafi1393
Coco interior design :
Pole sana kaka
2026-09-14 12:05:25
1
To see more videos from user @richardsimeod, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About