@mwenye.nchi: Kama makamu wa Rais walimtendea hivi, iweje mimi na wewe wa madongo kuinama? Tanzania haiko salama, Watanzania hatuko salama. kuna kakikundi kanachotuamulia watanzania wote tusikie wanachotaka kusikia, na tuendelee kuishi katika uduwanzi wa kutokumbuka kuwa tuna nchi moja tu ya kuipigania na kwa sasa ipo mikononi mwao wanyang'anyi Amka, shtuka, 29.10.2026 tuikomboe nchi yetu
WAKUFANYA KUZUIA HAYA MAMBO YASITOKEE,WAO NDIO WATENDAJI WAKUU WA HAYA MAMBO
2026-09-14 10:22:08
17
Happiness Yohana :
😂😂 deni la taifa limefikia shingapi nijulisheni nmelala huku
2026-09-14 18:51:59
6
JAFARI BABAYU :
kumlaum rais mda mwigine tumuonee huruma nahis kunawatu watakuwa wanatumia kivuli cha rais mungu ijalie tz
2026-09-14 14:27:37
14
mariamu abdul rahmaan :
kama nchi hiko salama. wananchi tupo salama acheni uchonganishi
2026-09-15 07:58:41
5
Amiri Msolo :
tutamuelewa pole pole juu ya kikundi kilichonyuma
2026-09-14 08:09:30
11
whatner👔 :
huo wimbo ndo umeniuma sana😥😥
2026-09-14 11:01:19
7
Mrs❤️❤️💘🌹 :
AU TUHAME NCHI WOOOTE TUONE ATAMUONGOZA NANI 😏😏
2026-09-14 13:53:28
6
Ephraim Mwidunda :
Sasa wananchi wanaaza kuichukia serikali, wanasiasa wanaiharibu nchi.!
2026-09-14 11:34:57
7
Adam Achimwene :
yaani nikimkumbuka pole pole tu nachoka mm
2026-09-14 16:21:57
5
Chalii Chalii :
wafuas wa ccm wao wanaonaga wapo salama.
2026-09-14 08:44:20
7
Tano Mwandu :
watanzania hatuna umoja kabisa
2026-09-14 09:39:18
5
jonte :
leo mchimbia ametutetea sisi ametekwa sisi tumekaa kimya wachungaji wamekaa kimya maasikofu kimya dah ichi ihi
2026-09-14 08:03:58
5
user3611991609265 :
Kuna kitabu kinaitwa 48 laws of power. Sheria hizi hutumiwa na madikteta ilq naona Serikali ya Samia ndicho anachokitumia kutukandamiza watanzania. Nenda kakisome utanielewa.
2026-09-14 15:15:11
7
Bakari Yusufu :
HII NCHI INABIDI VIJANA TUJIULIZE NA TUJUWE CHA KUFA TUPELEKESHWE KIDIKTETA WAO KAMA NANI NA ANAEPASWA KUOGOPWA NI MUNGU TU NA SIO MTU AMBAYE AKIJAMBA ANACHAFUA HALI YA HEWA,SASA KAMA NI HIVI TUNAUTOFAUTI GANI NA WAZEE WA ZAMANI HUU UJINGA
2026-09-14 08:42:20
8
.....@ disciple_RM@..... :
ila nlichokiona Tanganyika kupata uhuru kwa njia ya mazungumzo ya mezan kumetufanya tuwe kama maiti... akili zetu zimezubaa zikisubiri mtu kama nyerere aje atupambanie kwa mazungumzo ili tupate kuokoka...
2026-09-14 15:12:05
6
To see more videos from user @mwenye.nchi, please go to the Tikwm
homepage.